
- @ChelseaFC | de bonnes choses arrivent. | Travel enthusiast.
Euphoria | Mtaani kwetu | 🇹🇿
Joined April 2021
- Tweets10.8K
- Following391
- Followers742
- Likes33.3K
Pinned Tweet
For Chadema to truly ascend, it needs to evolve beyond simply being an opposition party and position itself as a genuine alternative to CCM. This transformation requires a proactive approach: openly acknowledging areas where CCM has succeeded to build credibility and trust with
Sasa si mumuachie ili asinufaike 😂
VIDEO:
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche anaitaka nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwa nguvu zote.
Akizungumza leo, Novemba 28, 2026, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Makambako, mkoani Njombe, Kihongosi amesema kuwa kuna mpango ndani ya CHADEMA wa kumuondoa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ili nafasi hiyo ichukuliwe na John Heche.
Kihongosi amedai kuwa mpango huo unalenga kumuweka Heche katika nafasi ya uenyekiti, huku akimtaka kiongozi huyo kujitokeza hadharani na kukanusha madai hayo iwapo si ya kweli.
Aidha, Kihongosi amesema kuwa Tundu Lissu amekuwa akihitaji kufanyika kwa mazungumzo ya maridhiano, lakini John Heche amekuwa akipinga suala hilo. Amehoji iwapo Heche ana maslahi fulani anayoyapata kutokana na kutokuwepo kwa maridhiano, ndiyo maana amekuwa akikataa mchakato huo.
Amesisitiza kuwa kwa sasa ajenda iliyopo ndani ya CHADEMA ni kumuondoa Tundu Lissu katika nafasi ya uenyekiti na kumuweka John Heche, akidai kuwa tayari vikao vya kutekeleza mpango huo vimeanza.
Hakuna kitu ka hii maisha. Joh na Fid Q ni wanoma kuwazidi hao watu umewataja hapo.
Bila akina One na Nikki Mbishi, hii dunia tungedanganywa sana na uwezo wa Fid Q na Joh Makini.
Yaani waliwafanya waonekane wa kawaida sana.
And recently FID anamkunjia Nikki live.
Wivu tu sababu Nikki ana wafuasi... yeye hana.
Creating a loyal fanbase is not for everyone.
107
😂 Koku nina swali please
Replying to @koku_shekya @BillyTronix1
Btw nimewahi date daktari alikuwa ananiomba hadi pesa ya biriyani kila ijumaa 🤣🤣🤣😆😆😆😆
1
8
977




















