kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2020
Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)Photo by kibhumbe kibhumbe (@kibhumbe)
Nimeipata. Hadithi namba 95 katika kitabu Al-Lu'lu' wal-Marjan cha Muhammad Fuad Abdul Baqi inahusu kushuka kwa Nabii Isa (Yesu), mwana wa Maryam, mwishoni mwa dunia. Tafsiri ya Kiswahili: Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira (رضي الله عنه), amesema kuwa Mtume Muhammad ﷺ
1
1
15
alisema: Naapa kwa Yule ambaye nafsi yangu iko mkononi Mwake! Hakika mwana wa Maryam (Isa) anakaribia kushuka miongoni mwenu akiwa hakimu mwenye uadilifu.
2
Congo congo congo😭😭😭😭😭
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 nchini DRC ameamua kutumia kipaji chake cha kuimba kwa kufoka (RAP) kuelezea hali ilivyo nchini Congo ikiwa ni pamoja na ukiukwaji mbalimbali wa haki za binadamu kwa wanawake na watoto pamoja na makundi mengine. Dogo Browny alipotezana na wazazi wake baada ya kuzuka kwa mapigano katika wilaya ya Walungu, Jimbo la Kivu . Aliishi kama ‘chokoraa’ mjini Goma kabla ya kupata hifadhi katika kambi moja inayofadhiliwa na mashirika ya Invisible Kids Academy wakisaidana na Focus Congo yanayoshughulikia mahitaji ya kimsingi ya watoto katika maeneo ya vita. Dogo Browny na mwenzake Adolphe anayefanya ‘beatboxing’ wamewavutia wengi mitandaoni kwa vipaji vyao katika muziki. Mwanzilishi wa Shirika la Focus Congo, Pappy Orion, anasema kuwa ni muhimu kwa watoto hao, kando na kupewa mahitaji ya kimsingi kama chakula, malazi na masomo, kuelewa yanayoendelea nchini mwao na vipaji vyao kukuzwa. Credit: TRT AFRICA #congo #DRC #dogobrown
114
Alichosema TAL Leo Kuhusu Kuitwa na Viongozi wa Dini halafu Pitia na ujumbe huu ulichapishwa hapa Mwezi Jana.. Unganisha Doti halafu songa Mbele!!
68
Women
Men, Stay away from this type of women ‼️‼️
1
64
Sipigi tena kura.. wachaguane wenyewe
🚨🚨 CCM ADMITTING RIGGING‼️🚨 “Quos Deus vult perdere, prius dementat” Those whom God wishes to destroy, He first deprives of reason Minister of Communications admitting to using “semi-legal” and illegal means to win elections in #Tanzania Mungu anapoamua kukumaliza anakupiga upofu! 😃 Imagine kiongozi anaongea hadharani kutumia mbinu CHAFU katika uchaguzi na anajigamba kuwa ni mtaalam Eniwei #TutaelewanaTu
2
43
St. Frances wanaiba mitihani😆😆😆😆
2
41
Prophet Muhammad and The Killing of Ibn Sunaynah youtu.be/0I9pZXkSuJo?si=KzhT… via @YouTube
4
23
DUUU
👀👀👀👀 camera zinatuonesha maajabu🙌🙌
1
35
Mashekhe wa bongo: mfuate dini kama watu wa Arabuni. Watu wa Arabuni sasa👇🏼
This quoted post is unavailable.
Mda wa kulipiza umefika. Hatujasahau hii.
"No VAR" for Africa…this is not world Cup.. its White Cup. It is high time for Africa to have our own World Cup.
6
Mvua zimeanza kunyesha, maji yataanza kutoka, Mgao wa umeme utaisha.. kuna Mbuzi zitasema mama anaupiga mwingi kwa kumaliza mgao
1
Birthday mwisho miaka 25… zaidi ya hapo subiri anniversary😂
1
Positions nyingine zitakuja kuua watu
This quoted post is unavailable.
Nimelala nimeota ndoto.. vijana masikini tunachangia chadema na hii “join the chain” kisha mwaka 2024 kwenda 2025 akina Halima mdee na wabunge wenzake wataomba msamaha kwa chama na kusamehewa. Nikichekesho lakini ndio ukweli.
😃
Alafu Huwezi kumdhania aisee. 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
1
Hivi ikitokea ndugu @hpolepole ame disco hapo chuo cha Diplomasia itakuwaje? Kumbuka ameambiwa akimaliza anatafanyiwa interview na mama? Je atatatoboa? @TunduALissu @IAMartin_ @