A political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance in Tanzania🇹🇿

Pretoria, South Africa
Joined June 2022
Pumzika kwa Amani Deus mgengele hatutasahau ukatili samia alio fanya juu ya watanzania wazalendo 💔😭
287
2,335
105
5,500
363,131
kuringe sawere Timbiri retweeted
Lilikuwa swala la muda tuu kutambua nawe ni salia la mbowe. Umeuza utu wako kwa 10M soka alikuwa mtu wako wakaribu unaweza kuniambia yupo wapi? Umetuumiza sana sisi tuliokuwa tunaamini tunasimama pamoja katika safari ya kudai haki na mabadiliko. #FreeTwahaMwaipaya
Unatumia utekaji wa Twaha Mwaipaya kama karata ya kisiasa kwenye meza ya maridhiano? Haki za binadamu si biashara wala maisha ya wapigania haki si kete ya kuchezea kisiasa. Mdogo wng @frediejustine Misingi ya chama si bidhaa ya kuuzwa na dhamana ya wapigania hak si ya kuchezea
2
2
99

3
9
1
17
938

Account ya TWAHA MWAIPAYA X-TWITTER imefutwa.💔😥 Hali ni mbaya sana ndugu zangu tuendelee kupaza sauti ndugu yetu apatikane. #FreeTwahaMwaipaya
2
1
4
1,169
kuringe sawere Timbiri retweeted
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana. Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu. Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanaje…??? #FreeTwahaMwaipaya💔
62
104
9
524
31,043
kuringe sawere Timbiri retweeted
Kenya KAMA TAIFA limetuangusha sana kwenye hili la kutekwa kwa mpiganaji mwenzetu TWAHA MWAIPAYA. Hili nitalisema kila siku bila kuzunguka mbuyu. Haya maisha ya kupoteza WATU wema kamwe hayawezi kudumu milele yana mwisho. Ipo siku mtatujibu MNAPELEKAGA WAPI WATU WETU. #FreeTwahaMwaipaya
7
140
508
9,045
kuringe sawere Timbiri retweeted
We need Twaha back safe and unharmed! Transnational repression is unacceptable! Samia Suluhu’s third dissident in exile Twaha is still within Kenya after being abducted by her notorious death squad and he has to be released immediately Cc @WGEID @OHCHR_ESARO @FCDOGovUK @WorldBankAfrica @KGeorgieva @IMFAfrica @commonwealthsec @SGCommonwealth @Europarl_EN @davidmcallister Hatutachoka kumdai mpambanaji wetu na tunahitaji majibu Twaha aachiwe mara moja! #FreeTwahaMwaipaya
15
256
7
472
8,471
kuringe sawere Timbiri retweeted
The @LindaMwananchi_ statement on the abduction of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya .
4
5
163
kuringe sawere Timbiri retweeted
Leo mida ya saa moja usiku, kuna mtu alinitumia huu ujumbe kupitia WhatsApp sikuelewa mpaka nilipoona press. Yani tupo katikati ya mapambano makali then watu wanavuta pesa ila wamsaidie Nduli Idd Amin Mama kutafuta nafuu ya kisiasa ili wahisani wampe misaada. Halafu kama mnataka maridhano si muende kwenye huto tuvyama twa kwenye Briefcase kwani mmelazimishwa kuwa Chadema? Pesa za Abdul zitawatokea puani.🚮🚮🚮
17
59
2
391
42,327
kuringe sawere Timbiri retweeted
Asanteni sana majirani zetu Wakenya kwa kumpazia sauti Twaha Mwaipaya. #FreeTwahaMwaipaya
181
4
711
12,888
kuringe sawere Timbiri retweeted
WHERE IS TWAHA MWAIPAYA? Kenya faces scrutiny over alleged abductions Tanzanian activist reportedly abducted in Kamulu Human rights defenders demand urgent government intervention Activists question safety within Kenya’s borders Authorities urged to investigate alleged cross-border operations @Peterkamaukenya #TV47Prime
1
57
2
160
3,901
kuringe sawere Timbiri retweeted
#FreeTwahaMwaipaya Various sources from 🇹🇿 intelligence community tell me the abductors are still within Kenya with Twaha! Authorities in Kenya MUST keep borders sealed! ALL suspicious vehicles stop and search!! These killers MUST NOT cross! We need Twaha Mwaipaya back alive! @OHCHR_ESARO @AmnestyEARO @FCDOGovUK @StateDeptARS @WorldBankAfrica @KGeorgieva @IMFAfrica #FreeTwahaMwaipaya
10
303
9
685
15,364
kuringe sawere Timbiri retweeted
Where is @Twaha_Mwaipaya ?Kindly return him back home! Mrudisheni Twaha salama ,tunataka kuuona utawala wa sheria na makubaliano ya mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki vikiheshimika.Free Twaha !
1
36
86
951
kuringe sawere Timbiri retweeted
We’ve not been able to locate comrade Twaha Mwaipaya’s whereabouts overnight. We urge Samia Suluhu to stop waging attacks on activists and release Mwaipaya effective immediately. #FreeTwahaMwaipaya
3
150
3
333
3,087
kuringe sawere Timbiri retweeted
WAKENYA hii ishu tunataka iishe salama kwa kutupa ndugu yetu akiwa mzima si vinginevyo. REPOST 200 #FreeTwahaMwaipaya
3
315
3
1,041
9,838
kuringe sawere Timbiri retweeted
#FreeTwahaMwaipaya @WilliamsRuto @SuluhuSamia Your actions are against @jumuiya treaty, African charter on Human and peoples Rights @achpr_cadhp @AUC_PAPS @ymahmoudali @UNHumanRights @antonioguterres
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
30
522
6
1,137
17,605
kuringe sawere Timbiri retweeted
Tuache kulia na kuogopa - Mungu wetu yu hai! Twaha yupo ndani ya mipaka ya Kenya! Wananchi wa mpakani hadi zile njia panya sogeeni! Wao pia wamejificha maana kwa sasa wanasakwa na mamlaka! Hii nawaambia 💯 tupambane - no soldier left behind! Another confirmation from 🇹🇿 intelligence - Twaha is still within Kenya Keep the borders sealed! We need everyone to be on the lookout! We need MASSIVE noise and search! We will also share possible locations of their hideout! #FreeTwahaMwaipaya
47
296
6
1,090
51,339
kuringe sawere Timbiri retweeted
14
180
2
699
29,067