Mozart retweeted
Hakuna urafiki eneo la kazi.
Fanya kazi, lipwa, then go home.
Usi-overshare maisha yako binafsi.
When money is involved, move smart. Not every smile around you is genuine.📌
Mozart retweeted
#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
Mozart retweeted
Mimi naogopa umaskini wa kujitakia, unavyoelewa maisha ni tofauti na mimi ninavyoyaelewa, ikitokea leo nimefilisika sina hata mtu mmoja wa kunipa 500k, so naenda nayo navoona ni sawa, tusibezane kisa tu sifanyi mambo kama wewe.
Mozart retweeted
Brother unakuwa;
1. Smart sana
2. Msafi sana
3. Career imenyooka
4. Business inaenda
5. Sexually attractive/mwili uko vizuri
6. Socially acceptable
7. Financially literate
Wanawake wote wanakuona kama red flag kwa sababu tu “You’re too good to be true” kwa standards zao.
Mozart retweeted
Open day balton tz
Jukwaa muhimu kwa waduu wa kilimo pamoja na wakulima katika kuonyesha bidhaa zetu kutoka kwetu zikiwa shambani.
Pia imekuwa wakati mzuri kupata mtejesho kutoka kwao katika kuboresha huduma na bidhaa zetu.
@iAmLyimo
@lukmanabeid
Mozart retweeted
Wakulima wa mlali, Dumila, kilosa, Doma, Msongozi, Melela, kikunde walituambia Mbegu bora za nyanya wanazolima ni Asilla F1 na Ansal F1
Nilikutana pia na mabwana shamba bora kutoka SUA wafollow
@dady_mawi
@lukmanabeid
#AssilaWeek
Mozart retweeted
Being broke as a man is very degrading and frustrating. To every man who's putting in the work to change his financial status for the better, I hope you win soon bro.
Mozart retweeted
Kabla hujafanya maamuzi ya kumuoa huyo binti na kumfanya mama mtu, mama mjengo atakayekuzalia na kuwalea watoto wako….waza kwanza haya:-
-At 45-50ages umepata gonjwa sugu mfano stroke/Ngwengwe/Figo/Cancer Etc. Je huyo binti anaweza simama na wewe mpaka mwisho wa uhai wako akakuhudumia kwa kila hali ukiwa hujiwezi? akakuosha na kukubadili pampas miaka miwili ukiwa bed pasi kuchoka?
-Umepata kesi hata ya kusingiziwa ukaenda segedansi nyuma ya nondo ukala mvua kama nne, huyo binti anaweza kukutunzia tunda lako? Na hata ikitokea kashindwa majaribu anaweza fanya kwa heshima angalau hata kwa siri? Ili tu apate mkate wa kuwasitiri watoto wako!
-Ukifilisika/Ukiwa broke for years anaweza still akawa pembeni yako kukusupport na kupambania ndoto zenu mkiamini ipo siku Mungu atawainua tena mtasimama tena? Na sio kama atakukimbia!?
-Atakuwa mama na mlezi bora kwa watoto wako, kwenye maadili mema!!
Ukishajiridhisha hayo, sasa unaweza kumuoa na kuzaa na huyo binti!!
Tunapoapa kwenye shida na raha, dhiki na faraja, maradhi na uzima!!
Hatumaanishi vimalaria vya siku mbili, au kukosa pesa kwa siku nne tu, hiyo hata mtoto mchanga anavumilia. Mpime kwa changamoto kubwa na za muda mrefu ukijiridhisha muweke ndani!!
Usimpime kwa sura nzuri tu na nyashi kuuuuubwaaaaaaaaaaa!!
Ni mimi mdogo wako Ebra nakuhusia kaka angu🙏
Mozart retweeted
Leo Kwenye Kupekua Pekua Makablasha Niliyokua Nayo Kipindi Niko O-level Nimekutana na Daftari Ambalo Nilikua Nabandika Kolamu ya Jumamosi “Nyuma ya Pazia”. Kolamu Bora Kabisa ya Michezo ya Muda Wote 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Baadhi ya izo Kolamu 👇🏿




























