
In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...
Tanganyika |A-Town |Sokoni one
Joined December 2011
- Tweets318K
- Following4.4K
- Followers18K
- Likes956K
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Uzuri nchi yetu imeharibika tukiwa wote tunaona. Kuanzia Elimu, maadili, uchumi hadi siasa.
Wizi ulianza kua ujanja, ustaarabu ukawa ushamba.
Uzuri au ubaya hatuna mtu wa nje wa kumlaumu. Sahizi tupo stage hata neno haki watu wanaogopa kulisema.🔥👌
Nilishasema hili, na lilipokelewa kwa hisia. Kama unaweza kutompa Mtanzania pesa, usimpe.
Kwenye saikolojia ya masoko kwa msingi wa demografia, Tanzania inawekwa kwenye tunachoita low-trust society. Na ni kwa sababu karibu kila mtu ni tapeli inherently. Kila mmoja anaangalia namna ya kumuibia mwenzake, na tumehalalisha kwasababu hatuchukuliani hatua na wala hatuwajibishani. Kila mtu mwizi, kila mtu tapeli.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Zingatia maneno, ‘wameamua kuingia mtaani kutufata tulipo’.
Waliua sio kuzuia maandano ila ilimradi waue ili wananchi wawaogope na wasirudie tena kupigania haki ili wao na wafimilia zao waweze kuinyonya nchi bila mtu yoyote kupinga.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Huyu kaka alimka October 29 akiwa haamini kuwa maandamano yatafanyika.
Akatoka nyumbani na furaha zake na kuposti instagram, a few hours laters akajikuta kapigwa risasi na Samia Suluhu na chama cha CCM bila hatia yoyote.
Kenya wamejenda Russia kumwambia Putin aache kuwasajili raia wao kwenye jeshi watu wanajali Uhai wa watu wao njoo Malawi eti kiswahili kimetushinda tunataka tuwapelekee Russia wao wanachukua Uranium shame.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗠𝗢𝗥𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 | 𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿𝗶𝗻𝗴 𝟮𝟵 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 𝟮𝟬𝟮𝟱
One year after the events of 29 October 2025, TMC, through the Internet Governance Tanzania Working Group (IGTWG), joins fellow civil society organisations in remembering those who lost their lives and standing in solidarity with survivors, affected families and all those still seeking answers.
The joint public statement reflects on the past year and highlights the importance of truth, accountability, support for affected families, respect for human rights, and the protection of civil and digital rights.
As we commemorate this day, we reaffirm the importance of justice, healing, national reconciliation and a collective commitment to protecting human dignity.
📄 Read the full public statement: bit.ly/29thOct_Statement
#TMC #IGTWG #Commemoration #HumanRights #DigitalRights #Tanzania
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
𝗞𝘂𝗺𝗯𝘂𝗸𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗧𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟵 𝗢𝗸𝘁𝗼𝗯𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Mwaka mmoja tangu matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, TMC, kupitia Kikundi Kazi cha Utawala wa Mtandao Tanzania (IGTWG), inaungana na mashirika mengine ya kiraia kuwakumbuka waliopoteza maisha, kutoa pole na mshikamano kwa manusura na familia zilizoathirika, pamoja na wote ambao bado wanasubiri majibu.
Taarifa ya pamoja inaangazia umuhimu wa ukweli, uwajibikaji, msaada kwa familia zilizoathirika, heshima kwa haki za binadamu, na ulinzi wa haki za kiraia na haki za kidijitali.
Katika kuadhimisha siku hii, tunasisitiza umuhimu wa haki, uponyaji, maridhiano ya kitaifa na dhamira ya pamoja ya kulinda utu wa kila mtu.
📄 Soma taarifa kamili hapa: bit.ly/29thOct_Statement
#TMC #IGTWG #HakiZaBinadamu #HakiZaKidijitali #Tanzania
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
#Repost From Uhuru FM
Tech & Media Convergence (TMC) imeendesha mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari, wahariri na viongozi wa vyumba vya habari, kuanzia Oktoba 27 hadi 29, 2026, jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutumia teknolojia ya Akili Unde kwa kuzingatia sheria, maadili na uwajibikaji katika uandishi na uhariri wa habari.
Katika siku ya kwanza, washiriki walijadili mifumo ya kisheria na kisera inayohusiana na matumizi ya Akili Unde nchini Tanzania na Kenya. Majadiliano hayo yaliongozwa na Wakili Robert Sylivester Majige, Kiongozi wa Sera na Teknolojia za Kiraia wa TMC.
Wakili Majige pia aliongoza mjadala kuhusu namna ya kubadilisha misingi ya usimamizi wa Akili Unde kuwa kanuni na sera zinazotekelezeka kulingana na mahitaji na majukumu ya vyumba vya habari.
Katika siku ya pili, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Foundation (TMF), Dastan Kamanzi, aliongoza majadiliano kuhusu hatua za kiufundi za kuhakikisha matumizi salama na yenye uwajibikaji wa Akili Unde. Washiriki pia walibadilishana uzoefu na kujadili maeneo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuandaa sera za matumizi ya teknolojia hiyo.
Mafunzo hayo pia yalihusisha Anuar Said, mkufunzi na mshauri wa TMC, aliyesimamia majadiliano ya kubadilishana uzoefu, huku Janet John Kahindi, Mratibu wa Sera na Programu wa TMC, akiratibu maandalizi ya kazi za vikundi na uandishi wa rasimu za sera.
Katika siku ya mwisho ya mafunzo, leo Oktoba 29, waandishi wa habari wamepitia rasimu ya sera ya matumizi ya Akili Unde na kutoa mapendekezo ya kuiboresha ili iendane na mahitaji halisi ya vyumba vya habari. Mapendekezo hayo yamezingatia masuala ya usahihi wa taarifa, maadili ya uandishi wa habari, uhuru wa uhariri, ulinzi wa taarifa binafsi na uwajibikaji.
Mafunzo hayo yamehitimishwa kwa lengo la kusaidia taasisi za habari kuwa na miongozo iliyo wazi ya matumizi ya Akili Unde, huku TMC ikiendelea kuimarisha matumizi yenye uwajibikaji wa teknolojia hiyo, kulinda uadilifu wa uandishi wa habari na kuendeleza imani ya wananchi kwa vyombo vya habari katika mazingira ya kidijitali.
Wale viongozi wa odm waliobaki hawana tofauti na wale wa chaumma wananchi wakiwakataa viongozi wanabaki empty set
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
DAR: Profesa Anna Tibaijuka aliyasema hayo Oktoba 29, 2026, katika Mahojiano na Ayo TV.
Zaidi jamii.app/TibaijukaWatuKupot…
#JamiiForums #Uwajibikaji
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Kalonzo alikosea kusema Sifuna is a party leader and not a presidential candidate. He should apologize for that
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
The #LindaMwananchiMovement has a home finally!I thank all those who found time to join us as we launched the @LindaMwananchi_ National Secretariat/Headquarters #LMHQ in Nairobi this morning. Special thanks to @DAP_Kenya leader @EugeneLWamalwa , @TheWiperParty leader @skmusyoka and DCP Party leader @rigathi for gracing the occasion. You made our day. God bless.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
NYUMBANI 😎
#LindaMwananchiMovement
#LMM
Kabisa
Replying to @judiciarytz
@judiciarytz sio mbaya na nyie mkaanza kujua a,e,i,o, u ya na namna inatakiwa kuwa.
Haiwezekani kwenye nchi iliyoshamiri utekaji wa namna hii, hakuna hata precedent moja ya namna hizi kesi zinatakiwa kushughulikiwa.
Jaji kama una hofu bora ujitoe kuliko kuksikiliza na kuzika Haki
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
SINTOKUJA KUSAHAU!
Siku kama ya Leo, October 30, 2025 nilikua natoka Ilala Kwa miguu mpaka Mbezi beach. Nilipofika Mbezi beach Karibu kabisa na nyumbani kwangu, nilikuta maiti ya kijana iliyotelekezwa na Askari waliompiga risasi Jana Yake. Ghafla walifika Askari kanzu ....... 1/2
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Watu wa Chesii mtoeni mwenzenu matopeni, awe anacheck bolu la Shabi Alonso, mkiongozwa na @samz__23 @roadman__n




































