Cha muhimu ni BISMARCK ROCK. LIrudishwe kama lilivyokua. Picha zipo. Swala la meli tulishasema ni za kuungaunga na zitaleta majanga, kuna ile ya Kidgoma mmeungaunga piya. Kamati ishughulike na JIWE TU.
3
Kawateuwa kwa niaba ya chama chake (mw/kiti ccm) na chama chake kinaenda kugombea. Endeeni kulisuka hili bomu. Litalipuka tu.
Na ndo anaetakiwa baada ya TAL kumaliza muda wake. So jamaa yupo sahihi kabisa. It's pain everywhere.
1
29
Kesho @judiciarytz wataficha mpira kwapwani ndo shida ya kuendesha kesi kwa maelekezo.
Tokea mmenza kuteka, mmefanikiwa lengo lenu zaidi ya kuongeza hasira kwa raia? Mnawakosoaji ambao siyo raia so mkitumaliza ukosoaji upo palepale. #FreeTwahaMwaipaya
1
36
Kaka @Thommunkondya ndo vijana unawaandaa huko vyuoni Songwe. Yaani matatizo ya vijana na UVVegies ni kuwatukana wapinzani? Yaani kijana anaomba kuonana na rais ili aombe hiki👇
2
54
Replying to @MadederiOG
@MadederiOG Sgt Maj. Robert Kabere was beheaded. I hope you didn't mean it. Be blessed but if you meant for harm to happen to him. God will never leave you unpunished.
37










