
Media Strategist @Cloudsmedialive | Communication expert |marketer| music analyst |social activist
Joined January 2021
- Tweets10.6K
- Following1.9K
- Followers3.6K
- Likes7.7K
Sema kwa maisha yetu haya ya sasa ya kimtandao mtandao, kuna umuhimu mkubwa sana wa kumtambulisha “MWANAMKE WAKO”
kwa wana wamjue.😀
Basi tu hofu ya kuonekana mnarudia rudia vitu but pale kwenye Enjoy, Joy, Ololufe mi, wana wangeamua kuachia EP ama Album ya pamoja, kisha mnapiga tour ! kwa ile Sound naamini wangeitingisha zaidi Africa..!
Kuna namna tungejipatia Empire..mwishoe O2 ARENA hii hapa !!!
1
6
422
Mnataka Grammy Watanzania ? mruhusuni Diamond Platnumz afanye Afro-Pop ! consistently kwa mwaka mmoja tu.
Na nikatika kipindi hicho kuna tuna watu walitulazimisha tuamini kwamba mwana kaisha..!!
2026 hii hapa na hakuna anayetaka kulinganishwa naye.
Maji na Mafuta vimejitenga kabisa.😀
Nakubali Ibraah ni mkali lakini katu sitopuuza alichokifanya Marioo ndani ya miaka hii 5 Consistently..!!
Hapo weka mbali kuandikia wasanii wengine ngoma na nyingi zikawa Hit.
Ila ni kawaida ya dunia, huwa inamtindo wa kukinai.
1
4
257
Tunapokuwa tunawashukuru waliyotusaidia na kutushika mikono, huwa hatuna maana nyingine zaidi ya kuwafanya waendelee kufungua milango kwa watu wengine na kuwatia moyo wa KUTHAMINIKA.
Huko si kujikomba. bali ni kutaka baraka tulizopewa sisi ziwafikie na wengine.
KITABU✍🏽
59
Thom ndungu yangu sasa tuanze kuwasiliana juu ya mikopo ya viwanja..! zingatia neno “Mikopo” na lazima viwe hii njia ya BAGAMOYO ROAD ..!😀
Wanastratejia..!
Watu siku hizi wanataka strategies zinazowapatia impacts endelevu za kimaisha na si za kuwahadaa.
Kiwango cha uelewa cha watu kinazidi kukua kila siku hivyo mikakati yoyote ya sasa lazima ilizingatie hilo ili kuwa effective.
3
69
KITABU retweeted
My product now has 300+ active users
mshahara.co
Sisi ni watoto kutoka kitaa tunaotamani kushinda mechi zetu, hatuna shida kabisa na ushindi wako na unaposhinda tunafurahia maana tunajua jinsi gani huku chini ni kubaya.
Plz usipange na wala usishawishike kutukwamisha, ziache haso zetu zikue na ukuaji wake katu USIKUOGOPESHE.
6
148
















