mazoea retweeted
Replying to @mazoeaaa
Good morning dear friend ☺️❤️ nitter.gq/sincerelyrahma7/status…
UNATAKA KUANZA UJENZI LAKINI HUJUI NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA UJENZI? 🏗️
Usipoteze muda kwenye michakato usiyoifahamu. @GeoConstructors @Geo_Traverse tunakurahisishia hatua zote za upatikanaji wa kibali cha ujenzi, kuanzia maandalizi ya nyaraka hadi kibali kupatikana.
Huduma zetu zinajumuisha:
✅ Ushauri wa mahitaji ya kibali.
✅ Architectural Designs (Ramani za majengo).
✅ Uandaaji wa nyaraka zinazohitajika.
✅ Uwasilishaji na ufuatiliaji wa maombi hadi kibali kipatikane.
Jenga kwa utaratibu, anza na kibali sahihi!
📞 0763 782 274 / 0719 336 667 (WhatsApp)
🌐 geotraversegroup.com
📍 Dodoma, Barabara ya Tisa.
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES Building Better Futures Together.
#GeoTraverse #GeoConstructors #BuildingPermits #ConstructionTanzania #Dodoma
mazoea retweeted
“Human emotions are unique.
The peak of happiness is crying.
The peak of sadness is laughing, and the peak of anger is silence.”
mazoea retweeted
How did she stay in character for so long?? 😩
The same exact tone every time is frying me😭😭
mazoea retweeted
Taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation kupitia programu ya Fursa Club imehitimisha Mafunzo ya Ujasiriamali, Kujitambua na Elimu ya Fedha kwa Wanafunzi 100 kutoka Shule mbili za Sekondari zilizopo Wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam, leo Novemba 12, 2026.
Akizungumza mbele ya Wanafunzi hao, Afisa Elimu ya Watu Wazima Wilaya ya Kigamboni, Edson Ausonamewataka kutumia maarifa waliyoyapata katika mafunzo hayo kujikwamua kiuchumi, huku akiwahimiza kuzingatia maadili mema na kuepuka tabia zinazokwenda kinyume na maadili ya Kitanzania.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation, Elias Tryphone amesema wameanza kutoa mafunzo hayo katika shule mbili za Sekondari zilizopo Wilaya ya Kigamboni, huku lengo lao kubwa likiwa ni kupanua programu ya Fursa Club ili kuwafikia Wanafunzi katika shule mbalimbali nchini.
#MillardAyoUPDATES
🧘♀️🧘♀️sio phd, phd ya oxford God
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
2
6
724
mazoea retweeted
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽





































