Micky Born retweeted
Nimemwambia "u are so cute" kaniambia wewe omba tu mechi hayo maneno tumezoea. 😂😂
Micky Born retweeted
Dakika 45' za kipindi cha kwanza zimemalizika hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa hakuna mbabe .
HT: Yanga SC 0-0 Al Hilal Club
Umeuonaje mchezo kwa dakika 45' za kipindi cha kwanza?
Micky Born retweeted
Unaenda ghetto la mwana unakuta kuna wheelchair, kumbe mwana akitoka chuo anaingia nayo kariakoo kupiga kazi😂😂😂
Micky Born retweeted
"Nitakupa lakini ukae ukijua mimi ni mke wa mtu"
Jibu kama ndo umeambiwa wewe 😂😂😂
Micky Born retweeted
Tunakumbushana tu,kama tulivyokubaliana wadada wa kuoa ni wale weupe tu,waliobaki ni imani za kishirikina😂


















