DELL LATITUDE 7390 2-in-1 laptop
Core i5 processor
8th generation
Speed 1.7Ghz up to 3.6Ghz
Display 13.3 inches
TOUCHSCREEN Display
RAM 8GB
SSD 256GB
Intel UHD Graphics 620
Keyboard backlight
Fingerprint scanner
Free software installation
1 Year warranty
Tsh 680,000/=
B.T.M Global Tech retweeted
Gym Bros! It's time for a new set π
Price > N18,000 each
Available in different sizes
Nationwide (home) Delivery π
B.T.M Global Tech retweeted
Google Pixel 7a
βοΈStorage 128gb
π°Tsh 550,000/=
πβοΈ0659251545
πDsm: Kariakoo Aggrey na Likoma ( Mkombozi bank)
π Popote Ulipo Tuna Kufukia.
B.T.M Global Tech retweeted
Mtoto wa Mkulima ukiwa unajitafuta achana na kitu kinaitwa βinterest,Ndoto yanguβ Jipate kwanza hayo mengine utayafanya tu Piga kila kazi.
Good morning Champ
B.T.M Global Tech retweeted
Premium Quality Two pieces Suit π
.
Bei: 180,000/=
.
Size 29-40
.
Njoo WhatsApp chap: 0743931620
.
N. B. Unapata koti na suruali tu.
B.T.M Global Tech retweeted
Sawa huna hela ya kununua A/C na feni yako now inapuliza joto, hata hii Air cooler ambayo unaweza barafu unatoka upepo wa baridi itakushinda? ππ
Midea Air cooler 7L - 210,000
B.T.M Global Tech retweeted
haya zengine hizi hapa sasa njoo chap ulipie ufanyiwe delivery π₯π₯π₯
bei 13000 tu
delivery ipo mikoani na Dar
whattsapp 0622754484
sina duka ni delivery tu
B.T.M Global Tech retweeted
Shoelack 180,000
π Tunapatikana Ubungo Msewe.
πDELIVERY IPOOO!
π Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! π β at Dar es Salaam, Tanzania
B.T.M Global Tech retweeted
Tucheze Mchezo, (Game Theory)...
Wewe Na Mkeo Mmeshikirana
Kwenye Kupiga Dili Chafu,
Kwa Bahati Mbaya Mkaingia Cha Kike,
Mkakamatwa.
Polisi Wakaingiza Wote Ndani
Ya Vyumba Vya Mahojiano,
Kila Mmoja Yuko Kwenye Chumba
Chake Cha Mahabusu.
Hamwezi Kuongea Wala
Kupanga Chochote Pamoja.
Mpelelezi Anaingia Chumbani
Kwako Akiwa Na OFA.
Anakwambia...
βMpango Ni Huu. Ukimsaliti Mkeo Na Kutoa Ushahidi Dhidi Yake, Wewe Unaachiwa Huru Na Yeye Anafungwa Miaka 10.β
Lakini...
βAkikusaliti Yeye Kwanza, Wewe Ndiye Utakayefungwa Miaka 10 Na Yeye Ataondoka Akiwa Huru.β
Polisi Anaegemea Kiti Chake.
Anakuacha Uyatafakari Maneno Hayo.
Wakati Bado Unaendelea
Kutafakari Anakupa Option Ya Pili.
βAu Wote Wawili Mnaweza Kunyamaza. Hapo Tutaweza Kuwashikilia Mwaka Mmoja Tu Kila Mmoja, Kwa Makosa Madogo Madogo.β
Umekaa Pale Ukijaribu
Kufikiria Kila Uwezekano.
Mkinyamaza Wote Wawili,
Kila Mmoja Anafungwa Mwaka 1.
Na Hiyo Ndiyo Option Bora Kwa Wote Wawili.
Ukimsaliti Na Yeye Akanyamaza,
WEWE Uko Huru Na Yeye Anafungwa Miaka 10.
Akikusaliti na WEWE Ukanyamaza,
Yeye Yuko Huru Na Wewe Unafungwa Miaka 10.
Mkisalitiana Wote Wawili,
Kila Mmoja Anafungwa Miaka 5.
Kwa Faida Yenu Wote Wawili, Uamuzi Wa Busara Ni Kunyamaza.
Mwaka Mmoja Si Kitu. Mnatoka Mnaendelea Na Maisha Yenu.
Lakini ...
Ukikaa Ukafikiria Kwa Makini
Kumsaliti Mkeo Kunaonekana Ni Option Bora Zaidi.
Kwa Sababu...
Je, Kama Mwenzako Naye Amekaa Chumbani Kwake Sasa Hivi Akiwaza Jambo Hilo Hilo?
Je, Kama Tayari Anafanya Makubaliano Na Polisi?
Kumbuka:
Akikusaliti Na Wewe Ukawa Umenyamaza, Umekwisha. Miaka 10.
Lakini Ukimsaliti Wewe Kwanza,
Kwa Ubaya Kabisa Mtafungwa Miaka 5 Kila Mmoja.
Kwa Uzuri Kabisa,
Wewe Unaondoka Huru.
Basi Unamsaliti.
Na Mkeo Naye Anakusaliti.
Mnafungwa Miaka 5 Kila Mmoja.
Na Hayo Ni Matokeo Mabaya Kuliko
Kama Mngeaminiana Tu Na Kunyamaza.
Hii Ndiyo Inaitwa (Prisonerβs Dilemma).
Na WEWE Ndivyo Unavyoishi Sasa Hivi,
Welcome To Game Theory.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
B.T.M Global Tech retweeted
KADRI MWANAUME UNAVYOZIDI KUKUA, NDIVYO UNAVYOGUNDUA MAMBO HAYA:
1. Hakuna anayekuja kukuokoa.
2. Utahukumiwa bila kujali unafanya nini.
3. Mafanikio yanachukua muda mrefu kuliko unavyofikiria.
4. Kulalamika hakubadilishi chochote.
5. Majuto yanauma zaidi kuliko kushindwa.
B.T.M Global Tech retweeted
Utoke dukani hadi chamanzi kwa boda kumpelekea simu mteja anaunbox alafu akwambie hajaipenda rangi ya simu urudi dukani ukambadilishieπ
B.T.M Global Tech retweeted
GOOGLE PIXEL ACTIVE STOCK
πΉ Pixel 10 128GB eSIM β 1,600,000/=
πΉ Pixel 10 Pro 128GB eSIM β 1,850,000/=
πΉ Pixel 10 Pro XL β 2,300,000/=
πΉ Pixel 10 Pro XL eSIM β 2,150,000/=
π FREE ACCESSORIES
π Location: Kawe, Dar es Salaam
π Call / WhatsApp
0786320031
0655248231
B.T.M Global Tech retweeted
Εema malezi mabovu kwa Tanzania,now ni 97% Yes,utake usitake.
Mtaani hapa kuna chalii angu,kamaliza form four mwana Jana.
Dogo asaivi yupo mtaani,baada ya ufaulu wake kutokuwa mzuri sana.


















































