M.J (@mujemaso) header
M.J (@mujemaso) profile picture

Voilà

Houston, TX
Joined May 2010
Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)Photo by M.J (@mujemaso)
Don't Hate What You Don't Understand.
1
22
Show ya Bolingo (Fally Ipupa) ila DJ anapiga nyimbo za hiphop, R&B, Nigerians Na Amapiano, watu waliokuja hapo wamekuja kwa ajili ya Rhumba sio mnachofanya. @EfmTanzania
8
Sitashangaa magari yote ya kifahari yaliokuja kumpokea Fally Ipupa ndio @mangekimambi hutuambia wamiliki wa hizo toys ni wakina Angela na Abdul..
94
Polepole on Maridhiano..
22
Mapambano yanaendelea..
41
"Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaofunga watu wasio na hatia ili wamridhishe mteule. Hilo kosa la uchochezi mmelitafuta wenyewe Majaji kumsaidia mteule wenu." TAL!
85
Sisi wengine.. TAL kupangua kosa la uhaini tu ni ushindi tosha..
83
Tujikumbukeshe kutoka kwa @rugemeleza
48
Tafsiri rahisi na lugha nyepesi sana kwa wanaotaka kupindisha kinachopambaniwa. @jjmnyika kanyoosha kama Rula. Kuna watu wanadhani hii nchi bado iko controlled na ma vyama na ma propaganda. This country at the moment is out of politics and propaganda. Tusome majira na nyakati.
77
Zenzele by Uncle Waffles VS Sasampa by Diamond Platnumz. Who copy who?
1
115