Nay Wa Mitego (@naytrueboy) header
Nay Wa Mitego (@naytrueboy) profile picture

CEO at Free Nation | Independent thinker 966 Money Makers ✊

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2020
Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)Photo by Nay Wa Mitego (@naytrueboy)
AMKENI, Street President
3
9
137
Nay Wa Mitego retweeted
Watu Is Out Now available on YouTube and All Digital Platforms
1
6
17
948
Thank you and God bless you so much Nay Wa Mitego. Nay Wa Mitego - Tupo Busy (Official Video) youtu.be/_7Luiswiwm4?si=ZLFX… via @YouTube
25
248
1,198
48,859
"Si mlisema tufanye kazi?.. Tumeamua kufanya kazi"....Kibao Kipya cha familia @naythetrueboy kinakwenda kwa jina la TUPO BUSY. Twendeni zetu mjini Youtube.
10
201
4
814
10,515
Nay Wa Mitego retweeted
Msanii wa muziki wa Hiphop Emmanuel Elibariki(Nay wa Mitego) amesema hali ya kukataliwa kwa wasanii na mashabiki nchini ni jambo ambalo litatoa somo kwa wasanii kuwa wanapaswa kuwa sauti ya mashabiki/wananchi angalau mara chache. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay amechapisha video yake aliyokuwa akitoa wito kwa wasanii kujitoa na kuwasemea wananchi huku akitolea mfano wa wasanii wa mataifa kama Kenya na Nigeria ambao wapo wamekuwa wakiungana na wananchi pindi wanapowasilisha madai yao. Ameambatanisha video hiyo na andiko akisema "Niliwashauri wasanii wenzangu kujitoa kwa wananchi wetu ata mara moja tu kwa mwaka kuwasemea kwa sababu wao ndo maboss wetu wa kwanza na ndio wenye hatma ya nguvu thamani na ushwishi tulio nao" Nay ameongeza "tatizo kubwa la Mastar hapa nyumbani ni ubinafsi na kusahau maboss zetu ni hawa wananchi. Sasa maboss zetu now wameamua kutuonyesha kwamba wao ndio wanaotupa jeuri na maisha mazuri tuliyonayo Ni kwa sababu yao. Aidha amesisitiza kuwa hatua ya watanzania sio la kulaumiwa bali kuchukuliwa kama somo kwa wasanii nchini "Mimi siwalaumu watanzania wana haki ya kuendelea na walichoamua npaka hasira zao zitakapoisha. Nadhani baada ya apo somo litakua limetuingia wasanii wote na tutakua tunaongea tugha moja wananchi na wasanii wote."
29
144
5
1,380
44,359
Msaani wa Nigeria 🇳🇬, Akiendelea na tour yake nchini Marekani, Davido alishangaza wengi baada ya kusimamisha show kwa dakika moja huku akiwaomba mashabiki wake walio jitokeza kuiombea Tanzania kutokana na machafuko yaliyojitokeza siku chache nyuma. Show hiyo iliyoenda Kwa jina la Atlanta Concert ilihudhuriwa na mashabiki wengi, na bendera ya Tanzania ilipeperushwa muda huo. #ThankYou @davido
34
244
4
1,140
74,089
Tumepoteza Ndugu Zetu Wengi Sanaaa🥹 Hakuna Damu Inaendaga Bure Malipo Yapo Na Mungu Ni Mwema Tuta shuhudia Malipo Ya umwagaji Damu Huu. Mungu Awalaze Mahari Ndugu Zetu walio poteza Maisha🙏🙏
26
224
2
912
30,174
Nay Wa Mitego retweeted
Wakenya Media zao zipo huru sana, sikiliza hapa wanawashauri WATANZANIA kuelekea maandamano 29.10. Huu ujumbe wa muhimu sana. Kuna watu hawajui kazi ya cologate (DAWA YA MSWAKI) kwenye maandamano. Wanaojua waambieni hapo wenzenu wajifunze maana ni YA MUHIMU SANA. Repost 200 #MO29 #MaandamanoOktoba29 #TUTAKUWEPO🫵😎
7
153
585
14,682
Stay strong Kamanda✊
9
197
1
1,123
11,375
Kuelekea Tar 29. Na leo ikiwa ni #NyerereDay Basi Tuishi Na Hii Ngoma #Alisema
2
108
3
397
4,938
Hii Sio Tanzania yetu ya Kisiwa cha Amani tena. Hatupo salama tena. Kuikomboa Tanzania yetu ikawa ile ya Amani Ya Kweli ni Sisi watanzania wenyewe ambao Ndo Wenye Tanzania wenyewe.
8
102
1
574
9,570
Nay Wa Mitego retweeted
“Kwenye Maandamano ya Oktoba 29 Wanajeshi wengi wapo upande wa Wananchi”-; Captain Tesha
43
401
9
1,909
29,429
Kwani Hii Nchi Kuandamana Ni Kosa.?! Mbona Viongozi Wetu wakisikia Maandamano Wanaona Kama Watu wametangaza vita.? Awa police na wana Jeshi walio sambazwa uku mtaani ni kama kuna vita inakuja. Wanauza Uoga Ngoja Tuone Kama kuna mtu wakununua round hii.!!
31
129
1
731
14,349
Hii sikuwahi kuiona ila kama ulikuwa Serious ulimkosea sana RAIS WA KITAA. Labda kama ulikuwa katika harakati za kujivunia Likes na Comments kaka
Baba Yaga Bila Kuandika Siasa hana Tofauti Na Wakazi 😆
11
10
141
6,135
Nay Wa Mitego retweeted
Madam President @SuluhuSamia pokea ujumbe huu mzito kwa niaba ya CCM halafu ukae chini utafakari kama unastahili kuendelea na hicho unachokiita UCHAGUZI.
8
96
3
397
5,418
Nay Wa Mitego retweeted
Wanangu tusichoke kupaza sauti dhidi ya wenzetu waliokuwa mstari wa mbele kupigania haki na usawa. Repost ifike mbali. #FREEKIDUKU @TanzaniaOneJezi
22
531
6
1,512
23,437