Tukutane Kesho mapema Mahakama kuu Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam.
#NOCASETOANSWER
#LisuSioMhaini
On August 12, I had the privilege of representing @ChademaTZ2 Zonal Secretaries and speaking to young people on the commemoration of International Youth Day.
Mzee Pichani amejitambulisha Kama Shaban Ally Mchezo Mkt Jimbo la Kibaha Vijijini
Ukweli ni kwamba mzee huyo anaitwa Mohamed Ngozi Mwanachama wa NCCR Mageuzi na mgombea udiwani 2025
Madalali wameshindwa kuingia Pwani wanatafuta Viongozi wa kuchovya.
Tutachukua hatua zaidi.
Kwa kuwa Jukumu la Serikali ni kuhakikisha ustawi wa wananchi wake,Hasara kwa wananchi ni kushindwa kwa serikali.
Shtuka
Mjinga pekee ndiye anayeamini kuwa serikali hupata hasara shughuli zisipofanyika. Ukweli ni kwamba hasara kubwa huwapata wananchi, si serikali. Wananchi ndio hukosa kipato, fursa, na huduma zinazotegemea shughuli hizo.
1
7
646
Siku ya Jana tumekua na Mkutano mkubwa sana wa Operesheni Katiba Mya #FreeTunduLissu Jijini Dodoma.
Dodoma wameitwa wakaitika,Wamekataa kuwa wateja wa mbogamboga period.!




























