Oi mazee Siasa imekuaje hii ya kuchukuana kwann zisitumike hoja kuonyesha Mabavu ya ukuaji wasiasa nchini kuliko kupotezana mnatuumiza sis wenye ndugu zetu nasio siasa zao maana tunawategemea hao watu kunawatu wanakosa mahitaji yamhimu kwakukosekana kwao kwanin lkn @tanpol
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Sumbawanga Mjini DIONIZ KIPANYA( @DIONIZKIPANYA25) ametekwa na watu waliojitambulisha ni polisi kutoka ofisi ya RPC-Mkoa wa Rukwa siku ya ijumaa ya tarehe 26 July 2024 mpaka leo hakuna Kituo cha polisi yupo na simu zake hazipatikani.
#FreeKipanya
14
Ndugu zangu utu umekua bidhaa Adim sana kwetu mwana nimda haonekan tunachukulia poa ata selikal aisemi kitu dah umuhimu wa NIDA ukwap ndugu yetu aonekan
1
17







