Hando (@polyecthando) header
Hando (@polyecthando) profile picture

Well-rounded Wakili | Corporate, Litigation, Compliance, Criminal Law, IP, Land Conveyancing | Adroit Associates & Corporate Solutions [email protected]

Joined December 2014
#KingMende mzee wa minyama anasema jiongeze ni zamu yako ‼️
4
56
TFF yafungua mashtaka ya kimaadili dhidi ya Rais wa Yanga na ofisa wa klabu hiyo. #Ethics #Maadili #HandoSheriani #SportsLaw
2
#Copyright #Royalties #Mirabaha wamiliki wa Hoteli, Baa, Kumbi za Starehe, Mabasi, Saluni, Vyombo vya Habari na sehemu kama hizo wanatakiwa kulipa mirabaha kutokana na matumizi ya kazi za kisanii kama vile Muziki au Filamu katika biashara zao. #COSOTA
2
BRELA wanasema kampuni ambazo zimesajiliwa na hazijahuisha taarifa zake kwa njia ya mtandao (ORS) na kuthibitisha zinafanya biashara, zitafutwa baada ya siku 30 tokea tarehe 27 Mei 2022. Hivyo wamiliki wa makampuni chukueni tahadhari na hatua sahihi. #HandoSheriani
2
Jisajili na @cosotatanzania1 ili wewe mmiliki wa Mabasi, Hoteli, Saluni, chombo cha Habari au kumbi za starehe upate leseni ya matumizi ya kazi za Filamu au Muziki @CorporateAdroit #COSTA #HAKIMILIKI
COSOTA ina uwezo wa kutoa huduma ya usuluhishi wa migogoro ya uvunjifu wa Hakimiliki #Copyright #HandoSheriani
1
Eid Mubarak to my Muslim brothers and sisters @CorporateAdroit
4