ππππ πππ retweeted
#SundayInspiration π€
Upendo ni dawa ya akili na akiba ya mawasiliano ya mwili,ukiendelea kuishi Kwa kuongeza maadui, kuna siku itafika utajiongeza mwenyewe kwenye list ya maadui zako!
#Begood
ππππ πππ retweeted
Netflix stock has plummeted after announcing their βMichael Jackson: The Verdictβ documentary - and the shares are still dropping even after the release.
Kwa sasa Dunia imebadilika sanaβ¦
Kabla hata hujaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu, inabidi kwanza ukae chini umuulize:
βUna maadui wangapi?β
Sio kwa utani⦠bali kwa kujilinda.
Maana unaweza ukafikiria unaanza safari ya mapenzi, kumbe umejiunga na vita usivyojua.
ππππ πππ retweeted
"Ukaambiwa mi niko tu hapa mtaani naganga ganga tu njaaa,
Ukaambiwa mi muhuni wa Tmk ,.sina kazi mamaaa "
- kwa sauti ya @ramadeeofficial
Tale akitoa kitabu cha maisha yake anaweza kuuza sana, kutoka kuwa karibu na Rais wa Manzese mpaka kuwa karibu na Rais wa Nchi!?
Nimeamua kupika Dagaa wa kigoma leo, sasa nimeskia uvivu kutoa vichwa,basi kila nikiwageuza naona wananiangalia tuβ¦
ππππ πππ retweeted
,@wagosiwakaya (MKOLONI),Joh Makini ,na wengine wengi ,lakini yeye pia alitaarisha album Classic ya @ramadeeofficial ya βChini ya Uvungu wa Moyo wanguβ yote ambayo ni moja ya Album bora za muda wote za R n B nchini.
Jors anakuja leo kuyajenga nasi mambo mbali mbali ya muzikiππΎ
ππππ πππ retweeted
Ubebe mzigo wa changamoto zako au usubiri huo mzigo uje kukuangukia, umia kwa kuchagua kabla hujaja kulamizwa na maisha kuumia, kubeba mzigo kwa hiyari kuna saidia kujijenga kitabia na kisaikolojia, lakini mzigo wa kuja kulazimishwa na maisha unaitwa stress na ni mzito sana
ππππ πππ retweeted
kipenda Roho Always @ramadeeofficial
ππππ πππ retweeted
The wait is over, Podcast yetu itaanza rasmi asubuhi kuanzia saa 5 ,plz subscribe channel ya βKuvifactsβ pale you tube uwe wa kwanza kuitazama
Episode yetu ya kwanza tuko na Rosa Ree ambae utapata nafasi ya kumsikia akizungumzia nafasi yake akiwa Mama Uzazi ,Malezi sambamba ππΎ














