Pinned Tweet
This was the life changing signing. He made us believe we can compete
@gabrieljesus9 ❤️
Tufanye ile penalty imefutwa basi 3-1
Mechi na Sunderland tumefungwa goli la dhuluma baada ya mechi wakasema kwel halikupaswa kuwa goli
Leo ukiangalia baada ya penalty ya uongo waliopewa leads ndio tukazid kuzidiwa
Ukiachana na wachezaji,kocha kuna namna officials wa premier league wanaihujumu Chelsea
3
9
575
Kuna siku unapata sare unafurahi tu
Zile sub alizofanya Matthias Jaissle na tactical switch 2nd half, Mikel alikosa majibu
Lucky tuna Ronaldinho regen
Chaba anaruhusiwa kubinyabinya Nyonyo. Kajichanganye wewe sasa upelekwe dawati la jinsia 😃
This quoted post is unavailable.
Ukitaka kujua watu wanaomba hizi kazi nenda kwenye website yao uone ilivo slow.
Wewe sikiliza watu tu 😂🤝
“There weren’t even any attempts to make my dream come true and move to Arsenal. The attempts from my previous agent were only to earn more money”.
Chezea Agents wewe 😂😂😂
🚨🔴⚪️ Mykhaylo Mudryk: “Before going to Chelsea, I wanted to join Arsenal. It’s no secret”.
“Arsenal were the club I wanted to play for, and moving to the Emirates was my dream”.
“There weren’t even any attempts to make my dream come true and move to Arsenal. The attempts from my previous agent were only to earn more money”.
“But at the time, I didn’t know about it. I only understood about the commission and all the rest later on”, told Guest of Gordon.
O:17 “Na itampa muwekezaji fursa kurudisha kwa uwekezaji atakaokua ameufanya"
Mbona hii clip inajieleza sio milele
Yanga ipo tangu 1935 imeshindwa kujenga Uwanja.
Anatokea mtu anakujengea alafu unasema utapeli basi GSM aache jengeni wenyewe
Kinachonichekesha zaidi ni mashabiki wa Simba ndio wanaumia Yanga kutapeliwa.
Wanaumia au ni Wivu? 😂
Never forgive. Never forget 📌
Replying to @sheldon20031234 @rayasel94
Nadra sana kuona mashabiki wa CR7 wana quote tweet za Messi zenye chuki, kama wafanyavyo wa Messi kwa CR7






































