Pinned Tweet
Kuna mahali niliunderperform nikapewa last warning na huyo mumama that she will withdraw her support kwangu. Nimespend wiki nzima nikiwatch video ya watu wakubwa juu Sunday Niko biggest battle of my life.
Kukuwa na good handwriting can never equate to academic intelligence.hao wasee huandika ni kama hawataki kuandika hukuwa na akili mingi sana
flame retweeted
Nowadays death feels so closer than life itself , I've laid my pal to rest. Rip to him 🕊
flame retweeted
kidungii ndani,ref ana ashiria kua anautaka mpira katikati mwa uwanja mamae..mighty Nottingham watafinya hawa vijana wa kalonzo ball , letu jicho tuuh
ukikaa kwako bila kutoka nje utakuwa unafikiria wewe pekee ndio unakapitia.Sometimes toka nje ndio ujue your miserable life is somebody's else dream life.Akhi vijana wanakapitia huku nje sana
flame retweeted
Damn ndo naamka after kungoja signing ya hiyobarua ya Tsc the whole night 😂 nimesign na anaku kituimechange mamaee, hata sijachangamka, imebidi nishike jaba inichangamshe mamaee wtf is this life 😁💔
University imejaa Gen z lakini ile tribalism iko huko iko juu sana. Football match between 2 tribes unaskia tu tribal chants hadi unashangaa tutakomboa nchi aje.
Leo asubuhi nimejaribu kuoga na salty water, siet kumbe this thing attracts luck.nimetoka nje kutafuta breakfast nikaitiwa mjengo hata sikukula breakfast tena.
I miss ile moment ningecode confidently bila internet, saa hii hata simple function ya updating data lazima nisumbue chatgpt
Ipo siku nimekua down boiys fulani tumesoma nayeye lakini yuko majuu akaniokolea lakini coincidentally nikapatana na Ile meme ya God knows how sitaki kuwa a slave to anyone nikaeka hapo status 😅😂
Boiys aliniangushia matusi mbayaa sijui rada though alikua ashaeka hiyo rwabe
flame retweeted
Do we have black or reselling water meters in Kenya?
Caution, be aware of thieves marauding around machakos town in nights and stealing water meters. Am told that this usually happens yearly towards the end of each year, November/December period
flame retweeted
Huko clock app nimeona study method ya smart students inajiita pomodoro method,unasoma five minutes unapumzika twenty five minutes,nakwambia hii sem ni mimi na masomo😂.
Mambo ya wasichana ni ngumu sana, mtu anakugombanisha halafu ukienda kulala anakuambia "'babe na uniote"
Kukuwa celebrity ni ngumu akhi, inabidi umejifungia nje ndio upate kitu ya kurecord ukitake risky moves















