Ruga Eval (@ruga_eval) header
Ruga Eval (@ruga_eval) profile picture

A journalist and a Content Creator

Nanyuki, Kenya
Joined November 2017
Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)Photo by Ruga Eval (@ruga_eval)
Ruga Eval retweeted
Mauaji Tata Ya Polisi Kambini Polisi wanachunguza kisa ambapo afisa wa polisi wa utawala anadaiwa kumpiga risasi mwenzake na kumuua kabla ya kutoroka. Familia ya afisa huyo Rafael Ojiambo inalilia haki. #NTVJioni @ruga_eval
1
2
4,564
Ruga Eval retweeted
Mvutano Wa Shamba La Joseph Gachoka Mvutano kati ya familia ya mfanyibiashara marehemu Joseph Gachoka na kampuni ya kimataifa yq Floriculture Limited umechukua mkondo mwingine. Hii ni baada ya familia hiyo kudai kuwa kuna zaidi ya watu 200 wanaodaiwa kuwa walijihami na kuwavamia katika ardhi hiyo na makazi yao. #NTVJioni @ruga_eval
1
2
2
5,778
Ruga Eval retweeted
Mahakami: Wakileta Kesi 2027 Tuko Ngangari Jaji Mkuu Martha Koome amesema Idara ya Mahakama imeanza maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Zaidi ya majaji, mahakimu na maafisa 400 wa mahakama wanatarajiwa kupata mafunzo kuhusu utatuzi wa migogoro ya uchaguzi. #NTVJioni @ruga_eval
1
5
4,537
Ruga Eval retweeted
Siku SIta Za Sitasita Jengoni Eastleigh Operesheni ya uokoaji katika jengo lililoporomoka Eastleigh sasa inaingia siku yake ya sita ya uchungu na mateso. #NTVJioni @ruga_eval @labaanshabaan
1
3
4
4,423
Ruga Eval retweeted
Mapigo Ya Mgomo Vyuoni Madhara ya mgomo wa wafanyikazi wa vyuo vikuu yameanza kujitokeza. Wanafunzi hususan wale wanaotarajia kwenda kwa mafunzo ya nyanjani wamelalamikia kulemazwa kwa masomo. Wengine wanalaumu mgomo huo kwa ongezeko la visa vya ukosefu wa usalama. #NTVJioni @ruga_eval
2
12
5,350
Ruga Eval retweeted
Afya Yako: Taya Mpya Kwa miaka mitatu, tabasamu lilikuwa jambo geni kwa Winfred mutio. Tatizo kubwa lililoathiri uso na taya yake lilimlazimu kuacha shule na kupata changamoto za kula, kuzungumza na kushirikiana na watu. Lakini leo, baada ya upasuaji wa saa nane, anaweza kutabasamu, kuzungumza na kula tena. #NTVJioni @ruga_eval
1
2
1
3,724
Ruga Eval retweeted
Uga Wa Talanta Kufunguliwa Rasmi Rais Ruto ametangaza kuwa klabu ya Bayern Munich itacheza dhidi ya klabu ya Ajax Amsterdam tarehe 5 Januari 2027, Katika mechi ya kihistoria ya kuzindua rasmi Uwanja wa Talanta jijini Nairobi. #NTVJioni @ruga_eval
3
2
18
5,547
Ruga Eval retweeted
Juhudi Za Kudhibiti Ebola Nchini Waziri wa Afya Aden Duale amefika mbele ya kamati ya afya ya seneti kuwasilisha kanuni za mwaka 2026 zinazolenga kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola nchini Kenya. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
3,239
Ruga Eval retweeted
Aliyekuwa mwanasheria mkuu, Jaji Mstaafu Paul Kihara Kariuki amefariki dunia. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
1
3
4,538
Ruga Eval retweeted
"Wacheni Kumdhalilisha Kalonzo" Baadhi ya wanachama wa Wiper Patriotic Front kutoka pwani wanasema wanakerwa na jinsi kiongozi wao anavyodhalilishwa katika mirengo ya upinzani. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
3,188
Ruga Eval retweeted
Sheria Za Uhalifu Wa Wanyamapori Mamlaka za uchunguzi zatakiwa kuimarisha juhudi za kukabiliana na mbinu haramu za kifedha kidijitali inayofadhili biashara haramu za wanyamapori. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
1
3,720
Ruga Eval retweeted
Lalama Za Kufungwa Kwa Barabara Isiolo Wakazi eneo la Leparua, Mlango na Kipsing wameathiriwa Barabara ya Isiolo-Kipsing imefungwa kwa takriban wiki mbili Mwanamke wa umri wa miaka 22 anadaiwa kufariki kufuatia hatua hiyo #NTVAdhuhuri @ruga_eval
2
1
3,497
Ruga Eval retweeted
Baadhi ya wakazi wa Lunga Lunga kaunti ya Kwale wamerejesha hatimiliki walizokuwa wamekabidhiwa na Rais Ruto wakidai kuwa zina utata. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
3
8
3,458
Ruga Eval retweeted
Thange: Wakazi bado wanadai kuathirika kiafya na kimazingira, huku wakisubiri haki na fidia. Wakazi waliathirika na umwagikaji wa mafuta ya KPC #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
2
3,534
Ruga Eval retweeted
Tuzo Za Mpira Ya Kiambu Tawi la Shirikisho la Soka nchini katika kaunti ya Kiambu limeanzisha utaratibu wa kutambua na kutuza wachezaji waliofanya vizuri katika ligi za kaunti hiyo, kama sehemu ya mikakati ya kuinua viwango vya soka mashinani. #NTVSpoti @ruga_eval
1
1
3,241
Ruga Eval retweeted
Mwanariadha wa mchezo wa Judo kutoka Kenya, Rael Kuloba, alibwagwa nje ya Michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar 2026, baada ya kushindwa katika raundi ya 'repechage' iliyofanyika katika Kituo cha Maonyesho cha Dakar. #NTVSpoti @ruga_eval
1
3,158
Ruga Eval retweeted
Opiyo Wandayi amemtetea Aliko Dangote kufuatia ununuzi wa hisa katika kampuni ya Kenya Pipeline, akimkashifu Ndindi Nyoro kwa kuendeleza kile amekitaja kama propaganda za kuwapotosha wakenya. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
3
3,746
Ruga Eval retweeted
Wamatangi amethibitisha kuwa amegura chama cha UDA huku akiwarai wananchi kumshauri chama anachopaswa kujiunga nacho kuelekea uchaguzi mkuu. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
7
4,434
Ruga Eval retweeted
Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o amewataka wakaguzi wa matumizi ya fedha za umma kuimarisha uwajibikaji na uangalizi ili kukabiliana na ufisadi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
2
3
3,607
Ruga Eval retweeted
Wawaniaji wa viti mbalimbali chini ya Linda Mwananchi wanauza sera za chama hicho Kakamega kuhakikisha chama kimeyakua viti vingi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
1
1
5
3,344