Russia in Tanzania retweeted
𝐄𝐀𝐂 𝐚𝐧𝐝 𝐑𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐒𝐢𝐠𝐧 𝐌𝐨𝐔 𝐨𝐧 𝐀𝐫𝐞𝐚𝐬 𝐨𝐟 𝐂𝐨𝐨𝐩𝐞𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧
On the sidelines of the 3rd Russia–Africa Summit in Moscow, the EAC Deputy Secretary General, @AguerAriik on behalf of the EAC Secretary General Amb. Stephen P. Mbundi signed a MOU on the Basic Principles of Relations and Cooperation between the EAC and the Russian Federation with H.E. Sergey Lavrov, Minister of Foreign Affairs of the Russian Federation.
🔹Both parties identified areas for enhanced cooperation, with the EAC highlighting investment in energy and infrastructure, alongside collaboration in science and technology, to facilitate regional trade and development.
🌍 Naibu Katibu Mkuu wa @jumuiya Mhe. Andrea Ariik Malueth akishiriki katika Mkutano wa Kilele wa Tatu Urusi-Afrika jijini Moscow.
🖋️ Pembezoni mwa Mkutano huu, Hati ya Makubaliano kati ya Serikali ya Urusi na EAC kuhusu Misingi ya Uhusiano na Ushirikiano ilisainiwa.
❗️Rais Putin akimnukuu Mwl. Nyerere❗️
🇷🇺🇹🇿 Akihotubia leo kwenye kikao kikuu cha Mkutano wa Kilele Urusi-Afrika, Rais wa Urusi Mhe. Vladimir Putin ameirejea falsafa ya Rais wa Kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: “Uhuru unamaanisha kujitegemea”.
🇹🇿 Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki katika Mkutano wa Kilele wa Tatu Urusi-Afrika jijini 🇷🇺Moscow, Oktoba 28-29.
🇷🇺 Habari za Kirusi zinarudi Tanzania rasmi mara ya kwanza tangu miaka ya 90!
📝 Jana kulifanyika uzinduzi wa Kituo cha Uhariri wa Shirika la Habari “Sputnik” jijini Dar es Salaam.
🇹🇿 Hafla hii ilitembelewa na maofisa wa Serikali ya Tanzania na wadau wa sekta ya habari.
Russia in Tanzania retweeted
🇹🇿🇿🇦 Uzinduzi wa ofisi za Sputnik nchini Tanzania na Afrika Kusini utawasaidia Waafrika kupata habari za kweli: Lavrov
🗣️ "Leo, wakati nchi za Magharibi zinakandamiza kwa nguvu mawazo yoyote yanayopingana katika nafasi ya kimataifa ya habari, ikiwemo kupitia udhibiti wa habari na matumizi ya viwango viwili, umuhimu wa kazi kama hii hauwezi kupuuzwa."
Russia in Tanzania retweeted
🇷🇺🇹🇿 'Sputnik is Well Known for Bringing Truth': Russian Ambassador to Tanzania
A new Russian media outlet will bring Russia's message to Tanzania and Tanzania's message to Russia—"true and true facts, what is needed now everywhere," Andrey Avetisyan said.
👇 Watch the ambassador's full address at the opening ceremony of Sputnik's editorial center in the African country.
🇷🇺 Ujumbe wa Bunge la Urusi ulioongozwa na Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Shirikisho (Senate) Mhe. Konstantin Kosachev ulishiriki katika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha Oktoba 5-9.
Russia in Tanzania retweeted
⚡️ @mfa_russia once again urges foreign nationals, personnel of diplomatic missions, to refrain from remaining in or travelling to Ukraine
Responsibility for any possible adverse consequences lies entirely with those who choose to disregard this warning
t.me/MFARussia/32545
🗳️ Jana Ubalozi uliendesha uchaguzi wa wabunge wa State Duma ya Urusi kwenye @RCSC_Tanzania .
✅ Walioshiriki ni raia wa Urusi waliopo Tanzania: watalii, wakaazi na watumishi wa Ubalozi.
🇷🇺 Upigaji kura uliendelea kwa utulivu kufuatana na sheria za Urusi.
📈 Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan alikutana na kufanya mazungumzo jana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) Bw. Peter Nalitolela.
🇷🇺🇹🇿 Walijadili fursa za kuendeleza ushirikiano kati ya DSE na masoko ya hisa ya Urusi.
Russia in Tanzania retweeted
⚡️ Russia has sent an urgent appeal to #ICAO Secretary General @JCS_ICAO over Ukrainian statements posing direct threats to civil aviation.
❗️ Russia issued a strong protest over Ukraine’s reckless terrorist actions in violation of international law.
t.me/MFARussia/31842
Russia in Tanzania retweeted
⚡️#Rosaviatsiya:
Ukrainian notices concerning Russian airspace have no legal force & violate the Chicago Convention.
❗️ Russian civil aviation continues to operate normally, including foreign airline flights, with additional security measures in place.
t.me/MFARussia/31807
Уважаемые граждане России,
B соответствии с Указом Президента России выборы депутатов Государственной Думы девятого созыва назначены на 20 сентября 2026 г.
Информация о проведении выборов на территории Танзании размещена на сайте Посольства: tanzania.mid.ru
🇷🇺🇹🇿 Waziri wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Urusi Mhe. Maxim Reshetnikov na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakisainisha jana MoU ya ushirikiano katika utalii, wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za moja kwa moja Dar es Salaam - Moscow.
🇷🇺🇹🇿 Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan amekutana leo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka.
🎓 Mazungumzo yamehusu ushirikiano katika uanzishaji wa kozi na programu za kufundisha lugha ya Kirusi kwenye UDOM.
Russia in Tanzania retweeted
A memorable film screening reception celebrating two milestones: 30ᵗʰ Anniversary of China-Russia Strategic Partnership of Coordination and 25ᵗʰ anniversary of the Treaty of Good-Neighborliness and Friendly Cooperation Between China and Russia. So glad to co-host the event with Russian Ambassador H.E. Andrey Avetisyan @rusembtz, and have Hon. Minister Paul Makonda @makonda_paul with us tonight. As history inspires the future, China and Russia will continue to make joint efforts for mutual development, global fairness and justice, and a brighter future for humanity!
🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda alishiriki kama Mgeni Rasmi katika maonyesho ya filamu yaliyofanyika jana kwa pamoja na Balozi za Urusi na China nchini.
Maonyesho haya yaliadhimisha miaka 25 tangu kusaini Mkataba wa Urafiki kati ya 🇷🇺 na 🇨🇳.
Russia in Tanzania retweeted
🕯 June 22 marks the #DayOfMemoryAndSorrow.
#OTD 8️⃣5️⃣ years ago, on June 22, 1941, the Great Patriotic War of the Soviet people commenced.
⬛️ The Great Patriotic War lasted for 1418 days and nights, claimed lives of some 27 million Soviet citizens.
t.me/MFARussia/30628























































