The happiest of homes are those that are real, not those that are just to show.
You'll get tired of the shows after a while.
40
#DNkategaya ndio basi la kwanza kupita JP Magufuli Bridge.
Basi hili hufanya safari za Karagwe||Mwanza.
Basi la pili ni #BubeleExpress linalofanya safari za Bukoba||Mwanza
Panapohitajika pesa usipeleke maneno!
Wajuaji tuambieni hii ni bus gani😁
Wa kwanza kujibu sahihi anaondoka na vocha ya 5,000/- 🫱🏽🫲🏾
#yutongD14🔥






















