TATHMINI YA RUZUKU YA PEMBEJEO YAONESHA KUONGEZEKA KWA UZALISHAJI SINGIDA NA DODOMA
Tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo imefanyika katika mikoa ya Singida na Dodoma na kuonesha ongezeko la uzalishaji wa mazao mbalimbali na
1
2
20
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Bw. Tony Bandio Munongo, Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika masuala ya Uchumi na Uwekezaji, tarehe 13 Machi 2026, jijini Dodoma.
Matukio mbalimbali katika picha yaliyohusisha Mkutano wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) aliouongoza katika kujadili mgogoro wa Mvuyulu na mwekezaji wa Kiwanda cha Chai Lupembe Dhow Mercantile tarehe 13 Machi 2026,
Zoezi la ukusanyaji wa sampuli za udongo kwa ajili ya upimaji wa Afya ya udongo, mkoani Morogoro limeendelea ambapo hadi sasa jumla ya vijiji 130 katika kata 30 za halmashauri ya Wilaya ya Mvomero vimefikiwa; huku upimaji ukiendelea katika Halmashauri ya Wilaya Malinyi, Ulanga,



















































