Tagie Daisy retweeted
🇹🇿 Dr. Schmitz also met Hon. Daniel Chongolo, Tanzania’s Minister for Agriculture, reaffirming support for stronger seed systems and opportunity crops.
Tanzania is a vital hub for food security across EAC & SADC, and we value this long‑standing partnership.
Tagie Daisy retweeted
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, kwa kushirikiana na Taasisi na Bodi mbalimbali, imeendelea na zoezi kubwa la ukusanyaji wa sampuli za udongo katika mikoa ya Lindi na Mtwara, zoezi lililoanza rasmi tarehe 9 Januari 2025 na linaendelea hadi sasa.
Tagie Daisy retweeted
TANZANIA NA DRC ZAWEKA MKAKATI KUONGEZA WIGO WA BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO
Matukio mbalimbali wakati wa ushiriki wa Tanzania katika Jukwaa la 18 la Kimataifa la Chakula na Kilimo (GFFA) yamehusisha mikutano ya uwili ambapo Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb)
Tagie Daisy retweeted
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) hivi karibuni ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha Majadiliano na Naibu Waziri wa Biashara za Kimataifa wa Finland.
Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya kuboresha ushirikiano
Tagie Daisy retweeted
SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MBEGU ZA ASILI NCHINI
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesisitiza wakulima kuendelea kutumia mbegu za asili kwenye kilimo ili kuwa na machaguo tofauti ya matumizi ya mbegu za kilimo na kutoa siku tano kuanzia tarehe 15 Mei 2025 kwa
Tagie Daisy retweeted
KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 20 YA TAHA
Makabidhiano rasmi ya vituo vya kukusanyia mazao ya Horticulture kwa viongozi wa vikundi vya wakulima wa maeneo mbalimbali kutoka Wilaya za Waning’ombe na Njombe. Makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Itulike Aman katika hafla ya
Tagie Daisy retweeted
Wizara ya Kilimo inashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo – MACFRUT 2025 yanayofanyika Rimini, nchini Italia tarehe 6 - 8 Mei, 2025 chini ya uratibu wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italia.
Tagie Daisy retweeted
Prof. Joseph Ndunguru, Director General of the Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA), participated in the 17th Conference of the Parties to the Basel Convention, alongside the 12th meetings of the Rotterdam and Stockholm Conventions, held in Geneva
Tagie Daisy retweeted
Picha mbalimbali zikionesha Majadiliano ya Tanzania na Malawi yaliyofanikisha makubaliano ya kuendelea na biashara kuanzia baina ya nchi hizo mbili, tarehe 02 Mei, 2025 jijini Dodoma.
Tagie Daisy retweeted
Baadhi ya matukio katika picha yakimhusisha Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na Waziri wa Kilimo wa Malawi, Mhe. Sam Kawalenga; ikiwa ni pamoja na Waziri wa Habari wa Malawi tarehe 2 Mei 2025, jijini Dodoma.
Tagie Daisy retweeted
WAZIRI WA KILIMO AHIMIZA KUJENGA MSINGI IMARA WA ZAO LA KOROSHO NCHINI
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameongoza kikao cha tathmini ya zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2024/2025 kilicholenga kujadili mikakati ya kukuza na kuboresha zao hilo muhimu
Tagie Daisy retweeted
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi ameshiriki katika kikao cha maandalizi ya ziara ya Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania nchini Oman kilichofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini tarehe 27 - 28 Aprili 2025.
Tagie Daisy retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Benki ya Ushirika Tanzania (COOP Bank Tanzania) tarehe 28 Aprili 2025 katika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dodoma.
Tagie Daisy retweeted
Watu wapya, mitazamo mipya fursa mpya, what more can i say, alhamdulillah..kocha la boli, Turpamovic.
..
Boss wangu Tagie Daisy @tagiedaisy 🙏🏽
Tagie Daisy retweeted
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amezindua Ripoti ya mwaka ya Kilimo ya Mwaka (2022-2023, 2023-2024) ikiwa ni ishara ya dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tagie Daisy retweeted
Kwa kuendelea kuhakikisha Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu, tarehe 28 Aprili 2025, Benki ya Ushirika itazinduliwa rasmi kwa ajili ya wakulima
#UzinduziBenkiYaUshirika
@coopbanktz @WizaraKilimo
Tagie Daisy retweeted
Huu ndio wakati wa kila mkulima kiwa na akaunti katika benki ya ushirika.
Benki ya ushirika itazinduliwa rasmi tarehe 28 Aprili 2025.
@coopbanktz @WizaraKilimo
#UstawiKwaWote #UzinduziBenkiYaUshirika






































































