Mbilinyi J (@thisisjo_) header
Mbilinyi J (@thisisjo_) profile picture

Attended Songea Boys Secondary School

Tanzania
Joined June 2011
Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)Photo by Mbilinyi J (@thisisjo_)
Mbilinyi J retweeted
Haramu kitunguu ya vikawe st>>>>>
1
1
2
565
Mbilinyi J retweeted
•Mikel Arteta has never benched him •Thomas Tuchel never benched him. •Joachim Low never benched him •Hansi Flick never benched him •Julian Nagelsmann never benched him •Now he’s started every game for Jurgen Klopp when fit. Six different managers, one common denominator. I can never understand why he gets so much hate.
294
813
92
17,363
2,874,614
Mbilinyi J retweeted
Wasomi shangaeni kidogo hapo DUAL SCREEN🔥
3
1
2
304
Mbilinyi J retweeted
Lenovo YOGA 9i🫵
2
6
230
Mbilinyi J retweeted
A new start for our boy 🙏🏽
268
720
42
9,275
597,328
Mbilinyi J retweeted
Replying to @thisisjo_ @infoTRHM
Wasife moyo. Wazidi kusaidia wananchi wenzetu kwa huduma na elimu🙏🏽
1
2
58
One Nil to the Arsenal… Top of the league
2
6
180
Mbilinyi J retweeted
Kuna story mmiliki wa Martin Luther Schools bro ake ni bodaboda, alimwambia chalii "kitu naweza kukusaidia ni wanao kusoma bure".... 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Ndugu wa tumbo moja; mmoja hata baskeli hana; mwingine uwani kwake yamepaki magari manne. Tuseme nini sasa kuhusu maisha?
22
4
1
245
27,062
COMO leo ameingia choo cha kilema! Mguu ndala, mkono ndala atapigwa kama ngoma. Bora ukutane na Simba mwenye njaa kuliko Man U ya sasa maana chini ya goal 3 hatushangilii
87
68
48
381
22,815
Mbilinyi J retweeted
_SanDisk PORTABLE_ 1 TB SSD 600MB/s Tsh 380,000/= _kIOKIA EXCERIA PLUS g2 1 TB SSD 1050MB/s Tsh 370,000/=
6
5
226
Don’t take for granted to see the sunshine
2
10
358
Don’t take for granted to see the sunshine
4
1
14
452
XX Delirium by Fally Ipupa is the best Rhumba Album to ever grace this earth… Kila songi ni Hit, Nov 28 in Dar es salaam 🙌🏽
1
1
7
310
Mbilinyi J retweeted
Anza week kibosibosi Office bag Tsh 65,000/=
7
5
252
Don’t take for granted to see the sunshine
4
12
455
Mbilinyi J retweeted
Kama kampuni/taasisi unayofanya kazi laptop wanazotumia ni Thinkpad, anza kabisa kuomba kuongezwa mshahara😁 Lenovo thinkpad T480s Core i7 8th generation processor RAM 8gb SSD 256gb Display 14 inches Tsh 680,000/=
7
10
345
Mbilinyi J retweeted
Faida za LAPTOP STAND 1. Unaepusha laptop kumwagikiwa na vimiminika kama maji, chai 2. Inazuia laptop kupata moto (Cooling) 3. Inaboresha mkao wa mwili (ergonomics) kuepusha maumivu ya shingo, mgongo 4. Kurahisisha matumizi ya screen 2 5. Kuweka meza safi & mpangilio mzuri
6
4
193
Mbilinyi J retweeted
Kama unateseka na kutembea na charger nyiingi angalia apa
Charger moja tu unacharge device ZOOOTE Na unasafiri nayo popote, UK, EUROPE, US Plug✅ Tsh 90,000/=
2
4
265
SUCCESS IS NOT WHAT YOU DID, BUT WHO ELSE YOU DID IT FOR Mafanikio ya kweli, sio kile tu ulishofanya wewe ulivyopata platform, bali ni nani mwingine ulimshika mkono baada ya wewe kuwa na platform!! Angalia Eminem, baada ya kupewa Platform na Dr Dre, akaanzisha Shady Records, akawashika mkononmasela wake D12, alafu akam sign 50 Cent (G Unit), kisha sababu Hip Hop ilikuwa haipigwi sana redioni, akaanzisha radio ya Shade45 na akaanza kupiga ngoma za Wahuni! Kisha akaja akawa sign SlaughterHouse (Joel Ortiz, Joe Budden, Crooked I & Royce Da 5’9), na recently hapa akaja kuwa sign Griselda (Benny The Butcher, Westside Gun, Conway The Machine). Hiyo ndio legacy ya Eminem, ukiachia mbali uwezo wake kimuziki na hits alizofanya na album alizotoa!! Kwenye Utamaduni wa Hip Hop ni kama Sheria rasmi, kutoa shavu na kusema fulani ni mkali… Kama wewe unajiamini na uwezo wako, hupaswi kuwa INSECURE kisa kuna dogo mpya anaibukia!! Kila nafasi utakayopata, ni desturi na wajibu kuujulisha umma kuwa “He got Next”, “He is Dope” & “Listen to him”!! Tutamsema Diamond kwa vingi, ila haki yake tumpe kuwa alielewa wajibu huu, na ingawa alikuwa kibiashara zaidi ila bado alitoa Shavu kwa vijana wanaokuja; Mbosso, Rayvanny, Harmonize, Zuchu, Lavalava, etc. Hii ndio legavy yake kubwa zaidi kuliko hit songs maana wapo watu wana hita kubwa kuliko zake (hata hao watoto wake tu wanazo kumzidi). Kuna wasanii wakubwa wengi career na heshima zao zinapotea sababu hawakuwa na hii strategy ya succession, na walikuwa Wabinafsi sana kiasi cha kushindwa kumuinua mwingine na sasa hata dogo wa kudandia wimbo wake hana!! Ingawa mimi sio msanii mkubwa saana, ila nalijua hili na ndio maana huwa ni muumini wa kushika madogo mkono. UKIPEWA SHAVU TOA SHAVU ndio slogan yangu. Sihofii kuwa watanipita au watapendwa zaidi ila nafarijika kuwa daraja kati yao na nyie…. hata Lil Wayne alianzisha Young Money, akamleta Drake & Nicki Minaj, na wakaja kuwa wakubwa kuliko yeye. Ila ana pakuombea Chumvi siku kikiumana. Kuwa sababu ya Mafanikio ya Mwingine ni MAFANIKIO YA KWELI. Play your Part… Hata kama wenyewe hawatosema hadharani, ila hakuna mtu atabisha kuna Wakazi hakutoa shavu kwa Wadogo Zake The Leader
2
9
2
55
3,294
Gachagua na Ruto waliishi Dormitory moja Afu Leo uniambie ni wapinzani haha! Cmon Mimi na @Herfeedh1 tumekaa wote dorm sbss leo awe Rais me niwe mpinzani wake mniamini😅
13
3
1
121
6,650