Lets-View-Stories (@view_lets) header
Lets-View-Stories (@view_lets) profile picture

|Youth-led Stories Platform📚|Untold Stories📝|

LetsView Headquarters
Joined August 2020
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1994, Afisa wa zamani wa CIA, Aldrich Ames, alikiri kwamba alisambaza siri za Serikali ya Marekani kwa Umoja wa Kisovieti. Ames alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya mkasa huo. #SikuKamaYaLeo
2
90
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 2005, Joseph Ratzinger alisimikwa rasmi kama Papa Benedikto wa XVI. Mjerumani huyo alitazamwa kama Papa mwenye mtazamo mkali wa kihafidhina—tofauti kabisa na mrithi wake, Papa Francis. #SikuKamaYaLeo
1
4
302
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1945, Adolf Hitler alikiri kushindwa katika WWII, mara baada ya kujua kwamba vikosi vya Urusi vilikuwa tayari vimekwisha ingia katika mji wa Berlin. #SikuKamaYaLeo
2
116
SIKU KAMA Ya LEO. 🦅Mwaka 1792, Sheria ya Mint ya mwaka huo iliianzisha Dola kama sarafu ya Marekani. Kwa sasa, takriban theluthi mbili ya biashara za kimataifa zinategemea fedha hiyo. #SikuKamaYaLeo
1
2
116
🦅Meli ya mwisho ya watumwa iliyokuwa ikienda nchini Marekani kutokea Africa ya magharibi, iliwasili Mobile, Alabama, Mwaka 1860, ikiwa na jumla ya wafungwa 160. Mmoja ya wafungwa hao alikuwa ni Cudjo Lewis, ambaye alijua fika kuwa, maisha ya utumwani yaliyokuwa mbele yake….
1
1
7
761
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 2006, Mwanzishi wa mtandao wa X (zamani, Twitter) ali-tweet kwa mara ya kwanza kwenye mtandao huo. #SikuKamaYaLeo
1
62
Kujifunza kutoka kwangu inawezekana, ila kuhusu kutengeneza mahusiano, Mcheki @jamesmsige_
1
1
18
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1876, Simu ya kwanza katika historia ilipigwa. Alexander Graham Bell alizungumza na msaidizi wake Thomas A Watson aliyekuwa chumba cha pembeni yake kwa simu akisema; “Mr. Watson, come here -- I want to see you”. #SikuKamaYaLeo
1
5
152
🦅Ignatius Sancho alizaliwa mwaka 1729 kwenye meli ya watumwa iliyokuwa ikielekea Karibiani. Alipoteza wazazi wake alipokuwa na umri wa miaka miwili tu na alipelekwa Uingereza, ambapo kuna akina dada watatu kutoka huko Greenwich walimchukua.
1
2
3
510
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1981, Mwanamuziki na muigizaji wa Marekani Justin Timberlake, ambaye hapo awali alikuwa ni sehemu ya kundi maarufu la 'Boy Band', kabla ya kuanza kufanya kazi peke yake, alizaliwa huko Memphis, Tennessee. #SikuKamaYaLeo
1
98