Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Foundation for Disabilities Hope (FDH), Maiko Salali, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani nchini, akisisitiza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo na usalama wa makundi yote katika jamii, wakiwemo walemavu
2
1,190
CFAO Mobility na BOA kuwezesha Watanzania kumiliki magari mapya kwa kulipa asilimia 20 pekee
Watanzania sasa wanaweza kumiliki magari mapya yenye kilomita sifuri kwa kulipa asilimia 20 ya thamani ya gari, huku asilimia 80 iliyobaki ikifadhiliwa na Bank of Africa Tanzania.
2
680
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhwan Kikwete, amesema kuwa sekta ya bima ina nafasi muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kwa kuwa ni nyenzo madhubuti ya kulinda biashara na uwekezaji dhidi ya hatari mbalimbali.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo,
Kenani Kihongosi ameanza ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali ya
awamu ya sita katika kipindi cha siku 100 za utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt.Samia Suluhu
Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali ya awamu ya sita imefanya mabadiliko katika sheria ya zabuni nchini ambapo kwasasa Miradi yote isiyozidi gharama ya Shilingi Bilioni 50 itafanywa na makandarasi wazawa ili kuchochea mzunguko wa fedha na kutoa uzoefu kwa Makandarasi wazawa.
Waziri Prof. Kitila Alexander Mkumbo, amewasilisha Bungeni Jijini Dodoma Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu 2026/27-2050/51, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27-2030/31) pamoja na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa
Mwaka 2026/27.
2
307
(TISEZA) imetembelea mradi wa Hospitali ya Kamanga Medics (Kamanga Medics Hospital) iliyopo eneo la Nyegezi jijini Mwanza, ambao kwa sasa uko katika hatua ya upanuzi. Hospitali hiyo inamilikiwa na wawekezaji Watanzania, ikiongozwa na Dkt. Rodrick Kabangila ambaye ni Mmiliki
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imezindua rasmi Dawati la Huduma kwa Wawekezaji Mkoa wa Shinyanga, hatua muhimu inayolenga kusogeza huduma za uwekezaji karibu zaidi na wananchi, hususan wawekezaji wa ndani na wajasiriamali wa mkoa huo.























