
Chosen by silence, shaped by pain, refined by spirit. I heal, I guide, I love...deeply. |Lana Del Rey ❤️| @mygallery888
Venus
Joined March 2021
- Tweets195K
- Following1.7K
- Followers45.9K
- Likes68.3K
Pinned Tweet
MAN A FROM NEPTUNE, GIRL FROM VENUS.
444
We embarked on a journey that we do not know the end of, but we had hope.
The hope that one day it will be what we thought it will be, even though we never thought it would be like that before, sometimes life is very surprising.
Kuna sababu inayofanya watu wa spirichoo kukubalika na pisi zilizonyooka i wish ningezisema sema nitakuwa najizungumzia mwenyewe sasa😁
Ni asubuhi nyengine ya kuwakumbusha mafirst born wote kuwa sikubali familia yako iwe sababu ya kuahirisha ndoto zako kila mwaka. Na wewe una maisha ya kuyajenga.
Mpenzi wako ana mtu wake mwengine ambaye wanakulana na huyo mtu anakujua na mara kibao huwa unamuona kwenye PEOPLE YOU MAY KNOW but ndo hivo tena.
ASUBUHI NYENGINE YA KUKUMBUSHA FIRST BORN KUWA:
1. Usijisahau katika kuwajali wengine. Familia yako ni muhimu, lakini maisha yako pia yana umuhimu. Usitumie nguvu zako zote kujenga maisha ya wengine huku yako yakibaki nyuma.
A THREAD 🧵
Na mwisho, firstborn, kumbuka hili:
Usiruhusu nafasi uliyopewa katika familia ikufanye usahau nafasi uliyonayo katika maisha yako mwenyewe.
1
3
175

















