APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD) header
APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD) profile picture

IN MY REALMS,,,,,,,, CURIOUS,EXPLORE THE WORLD THROUGH MY THREADS, FOLLOW FOR INSIGHT AND DEEP DIVE πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2022
Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)Photo by APOLLO'S REALMS (@Alexander_MFAD)
APOLLO'S REALMS retweeted
First look at the β€˜GHOST OF TSUSHIMA’ anime series. Releasing in 2027 on Crunchyroll.
209
2,603
458
39,071
1,641,095
APOLLO'S REALMS retweeted
The S1 finale for β€˜CREATURE COMMANDOS’ releases tomorrow. Read our review: bit.ly/CreatureDF
83
378
71
6,863
328,426
APOLLO'S REALMS retweeted
β€˜ASSASSINS CREED: SHADOWS’ has been delayed to March 20.
563
619
427
12,994
1,164,581
APOLLO'S REALMS retweeted
Andy Muschietti says they have a 3-season plan for the β€˜IT’ prequel series β€˜WELCOME TO DERRY’ β€œThe first season is 1962, the second season is 1935, and the third season is 1908” (Source: youtube.com/live/Tugk5mzMHqM…)
568
3,001
1,043
41,767
2,430,666
Mashabiki wanavutiwa na "Dum, Dumb, na Dumber" kwenye album ya lil baby "WHAM" aliyowaahirikisha future na Young Thug. Kurejea kwa Thugger kwenye muziki akiwa na mstari wake wa kwanza rasmi tangu kufikia makubaliano ya kesi ya YSL RICO na kuachiliwa kutoka jela After 2 yrs
2
5
14
2,726
APOLLO'S REALMS retweeted
Leo Ni kachori tu na supu
3
10
26
2,407
Huko DM watoto wa kike wanajimaliza sana aisee Bariki na wengine baba πŸ™Œ
3
3
2
12
2,371
APOLLO'S REALMS retweeted
Ni mara mia ukutane na Bruno mlalamishi sio huyu alieuma meno hana cha uwanja wa ugenini wala mabarafu πŸ”₯πŸ™Œ
16
18
4
243
5,151
Escape the prison of fear and fly away..
3
3
9
4,689
Today in history. Siku kama ya leo nchini urusi majaribio ya bomu aina ya "TSAR BOMB" linalojulikana pia kama "MFALME WA MABOMU" yalifanyika.ilikuwa silaha kubwa na yenye nguvu zaidi ya nyuklia kuwahi kufanyiwa majaribio,ikitoa mlipuko wenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa duniani.
1
4
5
6,563
A MOTHERS LOVE. Hadithi ya Marianne Bachmeier ni ya kusikitisha na yenye utata, iliyojaa huzuni ya binafsi na kitendo cha haki ya kujichukulia mkononi. Marianne Bachmeier alikuwa mwanamke wa Kijerumani ambaye maisha yake yalibadilika kabisa mnamo 1981.
4
3
8
6,448
EGYPTIAN HISTORY MUMMIFICATION. Mamifikishaji(Mummification)Misri ya kale ulikuwa mchakato mgumu uliotengenezwa kwa maelfu ya miaka ili kuhifadhi mwili kwa ajili ya maisha ya baada ya kifo.Njia hii ilianza kutumika kwenye miaka ya 2600 KK.Zifuatazo ni asili na njia zilizotumika
7
11
32
12,068
One has to learn from the struggles of the path to success.
2
3
3,425
EGYPTIAN HISTORY. THE EGYPTIAN GODS..(MIUNGU YA MISRI) Wamisri wa zamani ni jamii ambayo ilikuwa na desturi ya kuabudu mungu zaidi ya mmoja wakiamini kila mungu anakuwa na jukumu na sifa maalum ambazo zinamtofautisha na miungu mingine wafautao ni miungu kumi sifa na kazi zao.
1
4
6
3,868
Squid Game 2 is more intense πŸ₯Ά
113
24
7
464
102,350
APOLLO'S REALMS retweeted
Siri 6 za kuwa Mwanaume anayevutia wanawake wengi Kama unahitaji kuwa Crush wa wanawake wengi basi ujumbe huu ni wako Na inabidi uusome kwa umakini mkubwa kabisa Hizi apa sifa za Mwanaume ambaye ni kivutio kwa wanawake wengi 1. Kuwa na msimamo na kujiondoa eneo ambalo haueshimiki wala kuthaminiwa. Wanawake wanaheshimu sana mwanaume ambaye anatambua thamani yake na anailinda 2.Mwanamke akikuonyesha dharau unamfungulia milango na hauvumilii toxic and chaotic relationship Mwanaume mwenye thamani kubwa hapati heshima kwa kumfokea mwanamke...Acha ukimya wako uzungumze 3. Acha kuangalia video za Ngono na kujichua Kila unapoangalia video za ngono na kujichua unaharibu ufahamu wako, focus na hata ule uwezo wa asili wa kuzungumza na wanawake 4.Zingatia muonekano Kumbuka if you look good...you will feel good na pia utavutia vitu vizuri kwako Nyoa kila baada ya wiki mbili, Tengeneza ndevu na uwe mtanashati 5. Ukimtoa mwanamke lipia bill usiweke argument Simama kama mwanaume, wanawake wengi wanavutiwa na wanaume ambao ni viongozi 6. Fanya mazoezi na hakikisha unakula kiafya Unapokuwa na mwili mzuri unakuwa na confidence kubwa na hata approach yako kwa wanawake inakuwa nzuri...Hii inakuongezea mvuto zaidi kwa wanawake
53
21
53
3,550
126
5,718
253
37,369
1,893,528
Hawa wanaeza kua wanaangalia nini?
11
13
1
24
2,058
Mniokolee pick up lines leo nisidoz kama panga.
6
6
22
2,095