Awesi Ally Mkubwa (@Awesially) header
Awesi Ally Mkubwa (@Awesially) profile picture

Digital creator/Influencer/Interpreneur

Joined August 2016
Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)Photo by Awesi Ally Mkubwa (@Awesially)
I watched this Video more than 10 times. 😭😰
11
54
4,974
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Whatever the verdict, Tundu Lissu’s treason trial has already put Tanzania’s courts in the dock l.theafricareport.com/oWY
28
37
1,999
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Mtu umefeli Law School utatuambia nini juu ya analysis ya sheria? Rudi shule kwanza chawa wewe!!!
VIDEO: Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo. “Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
29
40
1
219
5,606
Wanasema tu siku ya uchaguzi watu wamekufa bila kusema wamekufa vifo gani na ni akina nani waliua hao watu? Hili zigo la lawama wasipewe wapinzani kwani wapinzani walikua wanatupiana maneno na mahasimu wao wa kisiasa sasa kama ni wao ndio chanzo waangaliwe na wa chama tawala maana nao walitoa kauli za kichochezi dhidi ya wananchi.
2
190
Dunia imeona uchafu uliopo Tanzania kwenye hii regime
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has accused the judiciary of seeking to keep him behind bars after the High Court acquitted him of treason but convicted him of the lesser offence of incitement in its November 6, 2026 ruling, which he described as a political fabrication and questioned his conviction over an offence he says he was never charged with or given an opportunity to defend himself against. #starkenyanews
65
mimi ndo maana nasema serikali haimaanishi chochote inapozungumza kuhusu sijuwi maendeleo, dira, au kuvutia uwekezaji. yaani upate uwekezaji wa maana katika mazingira ambapo kama serikali ina maslahi kwenye kesi mahakama iko tayari hata kupindisha sheria kuiridhisha? tusahau!
13
83
3
428
5,305
Kuna umeme wa mgao?
76
Balile mjinga sana
107
Dunia imechafukwa
#Tanzania: Statement by the Spokesperson The EU is closely following developments in the case involving opposition leader Tundu Lissu, who has been sentenced to four years’ imprisonment on charges of incitement.   link.europa.eu/jT6QFW
1
172
CCM wafute mfumo wa vyama vingi wasitese watu
Breaking news Nimepigiwa simu na mke wa Gwamaka kuwa Gwamaka amekamatwa na polisi asubuhi ya leo saa moja, pia napoandioanhii sms naambiwa Mwenyekiti wa Chadema Songwe Isakwisa Lupembe naye amekamatwa leo!
100
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Tanzania’s main opposition leader, Tundu Lissu, has been sentenced to serve four years in prison for “incitement,” over a statement he made in the run-up to last year’s election. He was acquitted of a treason charge. wapo.st/3UCjsrS
20
111
2
251
28,538
Awesi Ally Mkubwa retweeted
"Hakuna kiasi chochote cha ushahidi kitakachoweza kumshawishi mjinga."
🤖 Made with AI
1
4
172
"Hakuna kiasi chochote cha ushahidi kitakachoweza kumshawishi mjinga."
🤖 Made with AI
1
4
172