Awesi Ally Mkubwa (@Awesially) header
Awesi Ally Mkubwa (@Awesially) profile picture

Digital creator/Influencer/Interpreneur

Joined August 2016
"Hakuna kiasi chochote cha ushahidi kitakachoweza kumshawishi mjinga."
馃 Made with AI
1
4
172
Fanya hivi kwa interest ya upinzani labda ujinasibishe na Uchadema kama mwezi utaisha bado unatamba mtaani.
1
1
9
906
IGP wa Kenya akiwa kizimbani baada ya kuitikia wito wa mahakama wa kwenda kutoa maelezo ni wapi alipo Twaha Mwaipaya kama wanamshikilia au vinginevyo. Je, hapa kwetu hili linawezekana kumpandisha kizimbani mkuu wa jeshi la polisi?
3
109
Afya ya akili ni mbaya sana
30
6
9
77
20,085
Tangia Twaha ametekwa nchini Kenya hizi trend za kumzungumzia hazijawahi kushuka hata kwa masaa 6 tu. Hii trend ina masaa 17 na ina post 2800. Bring Back Twaha Mwaipaya #FreeTwahaMwaipaya
5
1
18
636
Hapa kuna usalama kweli馃
20
3
4
28
8,136
Ni mwaka umetimia tangu nchi yetu ipitie kipindi kigumu na kilichogharimu maisha ya watanzania wenzetu馃槬馃槹 Oct 29. #Oct29
1
1
3
336
Nenda pale ukanichukulie kitoweo changu
2
266