Bahati retweeted
🚨HUYO SIO MWANAHARAKATI NI TAJIRI NAMBA 2 ROSTAM AZIZI
Anajua michezo ya serikali katili ya CCM na uhuru wa mahakama haupo Tundu Lissu anapambana na crook’s wanaotunga sheria tumuunge mkono tutashinda
Bahati retweeted
Leo zimetimia siku 13 tangu ndugu yetu Twaha Mwaipaya atekwe mpaka sasa bado hatujui watekaji wamempeleka wapi.?
Tusiache kumpazia sauti. #FreeTwahaMwaipaya
#FreeTwahaMwaipaya
#FreeTwahaMwaipaya
#FreeTwahaMwaipaya
Bahati retweeted
Tanzania’s main opposition leader, Tundu Lissu, has been sentenced to serve four years in prison for “incitement,” over a statement he made in the run-up to last year’s election.
He was acquitted of a treason charge. wapo.st/3UCjsrS
Bahati retweeted
Tanzania's main opposition Chadema party celebrated a "victorious day" on Friday, after a court found their leader Tundu Lissu not guilty of treason. l.africanews.com/ONR
Bahati retweeted
And for the records....to any circumstances @TunduALissu is our next president.
Bahati retweeted
" Serikali yetu bila kutambu imemjenga Tundu Lissu kuwa Alama ya Haki "
-Phd, Benson Bagonza.
Bahati retweeted
Amnesty, HRW na PASNet zaitaka Tanzania kumuachia huru Lissu
bbc.in/48Ck8Rt
Bahati retweeted
“Lissu alishtakiwa kwa uhaini, kosa lisilo na dhamana, na mahakama ilikubali kuwa Jamhuri imeshindwa kulithibitisha 👏🏾👏🏾🙏🏽”
🗣️Madeleka
Follow this page 🫴🏾
Bahati retweeted
ÀLIYEPIGWA Risasi zaidi ya 16 makao makuu ya Nchi Dodoma, NDIYE kaenda jela kwa kuvunja sheria kwa sababu ya UCHOCHEZI! Aliyedai mageuzi kabla ya Uchaguzi mkuu kakaa jela siku 577 kwa kesi ya kubumba na bado kala miaka minne! Rostam alikuwa mbele sana ya muda!😅😅😅
Bahati retweeted
Karua, Bobi Wine na Maraga wamtetea Lissu baada ya hukumu ya miaka minne
bbc.in/3UIvi3I
Bahati retweeted
Bwana Ndunguru, Una familia, mke na watoto. Una ndugu ndani ya Tanganyika, tafakari, ndani ya nafsi yako, madhara utakayowaachia kwa kuwa sehemu ya Uonevu. Unamfunga mtu asiye na kosa. The "Hell" is awaiting you. Malipo ya Ushetani yako karibu. Hakuna dhulma isiyokutana na Karma.
Bahati retweeted
David McAllister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya, amesema:
Tundu Lissu jana alipatikana na hatia ya uchochezi na mahakama za Tanzania, lakini akaachiwa huru dhidi ya shtaka la uhaini.
Kumtesa na kumfanyia mashtaka kiongozi wa upinzani ni shambulio la moja kwa moja dhidi ya misingi ya demokrasia na haki ya msingi ya kutoa maoni yanayopinga serikali.
Kumshtaki kiongozi wa upinzani kwa uhaini kutokana na kauli alizotoa katika mkutano wa kisiasa kuhusu kuvuruga uchaguzi ni kizuizi kikubwa na kisicho na uwiano dhidi ya uhuru wa kujieleza, ambacho hakiwezi kuhalalishwa.
Tundu Lissu alikuwa miongoni mwa wagombea waliofika hatua ya mwisho kuwania Tuzo ya Sakharov mwaka huu. Bunge la Ulaya linatambua mapambano yake ya kishujaa kwa ajili ya uhuru wa mawazo na misingi ya kidemokrasia.
Amepitia kesi isiyo na uhalali na yenye misingi ya kisiasa, iliyosababisha kufungwa kwake kwa zaidi ya siku 500.
Kukamatwa na kuzuiliwa kwake kulitangazwa kuwa kwa njia isiyo halali na Kikundi Kazi cha Umoja wa Mataifa kuhusu Mahabusu za Kiholela (UN Working Group on Arbitrary Detention). Hili linaongeza ushahidi wa dhuluma katika kesi yake.
Mnamo tarehe 27 Novemba 2025, Bunge la Ulaya lilipitisha azimio la kulaani kuzuiliwa kwake kiholela na kwa misingi ya kisiasa, na kutaka aachiliwe mara moja bila masharti yoyote.
Leo narudia tena wito wa kutaka aachiliwe huru.
Bahati retweeted
Amnesty: Lissu Hakupaswa Kukamatwa Wala Kufungwa Jela
bbc.in/4BNoqCR
Bahati retweeted
Tanzania opposition leader Lissu sentenced to 4 years for incitement, acquitted of treason trib.al/3AcI7eI





























