Boom255 (@Boomin255) header
Boom255 (@Boomin255) profile picture

From E- Industry🇹🇿

E venue
Joined March 2021
Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)Photo by Boom255 (@Boomin255)
“Kila mtu kasoma, busara itumike” - Anko Iddi
1
3
85
Weekend tafuta hela ya “Buluto” tatu tu🚀
1
49
Tofauti kati ya nyumba ya ibada na kanisa ni ipi ? Watafyeka mengi
45
Wabunge wa Bunge la Vijana mchakato wake huwa ukoje hadi wanapatikana?
43
Lyrics za wasanii wetu wengi hazina impact+ hata wazungu wakitafasiri kwa lugha yao wanaona tunaimba umandazi
1
1
43
Media ni kama zilisanukia uduansi wa muziki wa Singeri, wakautema fasta Licha ya yote madhara yake bado yanaitandika Jamii vizuri kwa ukubwa sababu baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wamemeza kauandishi kale
1
1
1
352
Graduu zikiisha kama ulipita JKT, ingia SUMA kuliko ushangae shangae mtaani
34
Vijana wa Kitanzania ili tufike kwa sasa mambo ✌🏾ya kuachana nayo ni Nyeto na Video za Ngono Porno Wimbi lisiloimbwa kwa ukubwa linalosomba watu kimya kimya leo na leo
181
I hate seeing porn on this platform. @elonmusk, please remove pornographic content.
13
1
3
26
6,233
Boom255 retweeted
Hivi Dar es salaam kuna bata nyingine tofauti na kwenda kwenye bar maarufu, kunywa pombe na kusikiliza mziki wenye makelele..?
22
33
6
321
22,819
Boom255 retweeted
Lil Wayne fans, name one modern rapper who has surpassed his influence.
14
120
129
2,074
#DADAZ:"Wakati nafungua biashara yangu nilipaka rangi tu na chuma zakuning'iniza suti, watu wanahitaji bidhaa hawataki decoration"- @mariam_suti @bhokeegina @chica_fourteen #Dadaz #EastAfricaTV #TogetherTunawakilish
4
25
3,645
“I still uses an iPhone 6 from over 10 years ago because I doesn't believe in upgrading something that still works” ~ Ice Cube Ice Cube who's worth around $160M
5
8
3
61
2,203
Kwenye content za ishu za kidini kuna hii Comment maarufu “Takatifu Moja la Mitume” Jmosi, Jumuiyani Tena🚀
29
Kimuziki hapa Mbezi Maghufuli Stand, mtufungie spika zenye sound kali
26
AKA Mtungo, Shuleni Kwenu AKA nini ?
1
70
#HABARI Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kisheria baadhi ya kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni, baada ya kuzitambua kuwa zinakiuka Katiba ya nchi kwa kukinzana na haki ya utu wa binadamu na uhuru dhidi ya adhabu za kikatili na zinazodhalilisha. Katika uamuzi uliotolewa Novemba 3, 2026, kupitia usajili wake wa Dodoma, Mahakama Kuu imebatilisha Kanuni za 2, 3 na 6 za Kanuni za Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko za mwaka 2002, zilizotangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 294. Jopo la majaji watatu, Amir Mruma, Hassan na Irene Musokwa, limebaini kuwa kanuni hizo zinakiuka Ibara ya 12(2) na 13(6)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazolinda utu wa binadamu na kupiga marufuku adhabu za kikatili na zinazodhalilisha. Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2025 na Samweli Maduhu Mangu dhidi ya Waziri wa Elimu, kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kufuatia kifo cha Mhoja Maduhu, mwanafunzi wa kidato cha pili aliyefariki baada ya tukio la madai ya kuchapwa viboko shuleni. Mhoja alifariki Februari 26, 2025, katika Shule ya Sekondari Mwasamba, wilayani Busega, mkoani Simiyu, baada ya kudaiwa kuchapwa na mwalimu kwa kushindwa kukamilisha kazi ya kikundi ya somo la Jiografia. Inadaiwa kuwa alipigwa sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo kichwani, alipokuwa akijaribu kujikinga, huku wanafunzi wengine waliokuwa hawajakamilisha kazi hiyo pia wakiripotiwa kuadhibiwa. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
51
31
13
391
36,348
Boom255 retweeted
"Nenda kawaambie ni mimi nimekutuma"... hii kauli ina nguvu kuliko hata CV
1
6
38
496
Karanga za mayai siku hizi unashindwa kuelewa ni mayai au unga wa ngano na sukari nyingi
20
Kabla ya Ushamba kuwa Comedi ulikuwa mzigo - Young Killer Ft Hanstone “Kiasi”
28