Steph retweeted
Sema tunachukuliana poa sana humu ndani...
Anyway acha tuendelee iko siku tutazipanga..
Steph retweeted
馃搶Shuka zetu ni mtumba grade 1, pure cotton, Hazitelezi wala kupiga shoti
Shuka 2, foronya 4
Tsh 50,000
0755693113
馃搷 Riverside, Mikoa yote tunatuma
Steph retweeted
Sometimes maneno hayaongei kama moyo unavyoongea..
Nilichokuja kugundua ni kwamba;
Kuna muda ni muhimu sana kuusikiliza moyo.
Steph retweeted
Keeping a sane mind every day has honestly become one of the trickiest parts of being an adult.
Aisee, the mental load of adulthood is something else 馃檶馃徏
Steph retweeted
Mmeamkaje? Dinnerset, unyama mwingiii馃敟
馃挜Vikombe 4
馃挜Sahani ndogo 4
馃挜Sahani kubwa 4
馃挜Bakuli 4
Tsh 85,000
0755693113
馃搷 Riverside, Mikoa yote tunatuma
Steph retweeted
Mtu mwenye hekima hujifunza kutokana na makosa ya wengine kabla hajalazimika kulipia gharama ya makosa yake mwenyewe 馃槑 .
#ElimikaWikiendi
Steph retweeted
Eeh Mwenyezi Mungu,sitaki udhaifu wangu uwe bwana wa maisha yangu.Sitaki tamaa,hasira, ulevi,mawazo mabaya,mazoea yasiyofaa au vishawishi vinavyonirudisha nyuma vitawale maamuzi yangu.
Nipe nguvu ya kukataa yale ambayo yanaharibu maisha yangu.
Steph retweeted
Licha ya changamoto zote ambazo unaweza kukutana nazo ila hutakiwi kupoteza matumaini.





















