𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Hawa watu wa mkoa gani...
..hata hivyo ukifocus Sana na MC kuna vitu utavikosa😂🔥
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mathayo 24:12-13
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kama ungelinipa nafasi ya kukuchagulia shuka nzuri basi nngekuchagulia haya
Shuka 2, foronya 4-50k
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Good morning
Hotpot za kishua hizi🔥
3pcs
Tsh 65,000 badala ya 70,000
0755693113
📍 Riverside, delivery nchi nzima
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Good morning vipenzi
📌Watoto wenye akili wanategemea na wewe mzazi ulilalia shuka gani?😅
Shuka 2, foronya 4-50,000
Mtumba grade 1, pure cotton, zingatia size pichani📌
0755693113
📍 Riverside karibu na Micasa
Mikoa yote tunatuma 💯, naomba rt
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Life is what you do.
You don't have to bother yourself about what someone has settled for,majority settle for less and life goes on fine by them,few choose to pursue their goals by any means necessary.
Don't judge,just dance your two steps.
Good morning fam.
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
I may sound crazy but it is what it is.
I don't have a plan B in making out in life,I just have plan A and that's enough.
Giving it my all until I make it.
Plan B sounds like a retreat or an excuse to me.
Good morning fam.
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
The amount of power us poor people use to make it out of poverty is massive and unhealthy.
Learn what missed in your life and teach your children better ways.
Break the chain of poverty and make sure your generation never go back to it.
Good morning fam.
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Zamani Mzee alikua anatununulia nguo za sikukuu hakafu yeye hajinunulii, nilikua najua hajipendi💔🥶
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kuna dogo anapiga stori na mzee wake hapa, mzee analalamika leo bi mkubwa kapika chakula vibaya, dogo kamwambia yeye hawezi kuoa mwanamke anapika chakula kibale namna hii, nimekimbia sitaki kuamulia😂💔🙌
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE
USINYWE POMBE































