Ze Planmaster (@ZPlanmaster) header
Ze Planmaster (@ZPlanmaster) profile picture

No bio, just Chemistry.// Backup account @ZePlanmaster

Joined February 2022
Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)
Wazazi waliotengana mtoto akipiga simu kwa bahati mbaya😅
23
20
72
1,799
Ze Planmaster retweeted
Mafumbo hayasaidii nyakati hizi, we tuambie ulipataje hela ukawa tajiri namba moja tz
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
15
18
57
1,672
Ze Planmaster retweeted
Hivi karibuni kuna sehemu nilikuwepo kwenye ubarozi wa inchi moja ya Ulaya SALIM KIKEKE alikuwepo pia Guess what walimtambulisha kama ndiye mmiliki wa CLOWN MEDIA?? Sio yeye aliyejitambulisha hivyo ni Deputy Chief of Mission wa ubarozi ndiye aliyemtambulisha. Mdau akanipenyezea nyingine kuwa hivyo viwanja anavyo tangaza ni mradi wake pia(Hili sina uwakika nalo) Sema hapa recent nimeona watu wanamuandama kuhusu downfall yake kutoka BBC Hakuna cha downfall kutoka BBC. Ukitoa kugombea ubunge na drama zake alizoleta kipindi cha mitikasi ya ubunge na ukizangatia upande aliouchagua na yaliyotekea hapo ndio alizungua Ila BBC kulikuwa hakuna issue kuanzia 2022 baada ya BBC kufanya Restructuring na budget Cuts na kurudi Africa(BBC swahili)
21
16
2
242
22,815
Mwanaume mpambafu ni yule anae mpiga mke wake kwa ngumi na mateke ukizingatia wewe ndo ulimshawishi kuishi nae mtoto wa watu hakukulazimisha.
17
44
2
81
1,558
Ze Planmaster retweeted
Ni mtandao gani? 🤔
39
31
120
6,360
Ze Planmaster retweeted
kipindi kigumu hakimaanishi wewe umefika mwisho. Kinaweza kukufundisha kuangalia maisha kwa namna nyingine. Kinaweza kukufundisha kutumia kidogo ulicho nacho kwa hekima. Kinaweza kukufundisha kutafuta njia mpya. Kinaweza kukufundisha watu wa kweli wanaosimama na wewe.
8
26
55
976
Ze Planmaster retweeted
Good morning. Mali nzuri zinapatikana @ramamobilehub wa.me/255747151944
12
42
2
45
735
Ze Planmaster retweeted
2019😌
4
8
27
672
Njia pekee inayoweza kufanya tukaonana👇👇
21
47
60
632
Inakuaje mtu unaumia kwa kitu ambacho huna gari,nyumba,biashara au mpenzi na akili inalijua hilo yaani kinachokufanya uumie ni nini hasa..???
13
47
65
867
Ananiambia kikoba chao walivunja toka mwezi wa tisa kupisha El nino😭😪😂
16
32
57
1,559
Ze Planmaster retweeted
Angalia mpaka mwisho 😂
19
24
1
99
8,040
Ze Planmaster retweeted
IFIKE hatua mliooa na mnakaa nyumba za kupanga zilizojaa masela single muwe makini. Unaruhusu vipi mkeo awe na utani na masela (wapangaji) tena ambao hawajaoa na wapo huru sana kumtania, kufurahi nae kuchekeana mbaya zaidi wanamletea chakula kabisa awapikie. Au hamuogopi?.
49
63
2
203
9,898
Ze Planmaster retweeted
Ila madem wa kiislamu wana nukia sana halafu wasafi mno hadi mbususu wanapulizia perfume na kupaka Malashi.
39
28
2
207
11,669
Asilimia 90% ya wazazi masikini Hawakuzaa kwa sababu wanapenda Watoto, walizaa ili wawatumie watoto Kama PLAN B.
32
41
2
241
6,916
Ze Planmaster retweeted
Mimi ni jobless ninae tegemea biashara ya account ili kulipa Ada yangu ya chuo Naomba support yenu please
12
39
3
56
944
Boss anapo kwambia nime kusimamisha kazi humanishi uache kwenda kazini maana yake ni uende kazini ila usifanye chochote shida yetu uelewa mdogo tunahisi tumefukuzwa kazi.
21
59
188
6,950
Ze Planmaster retweeted
Wakuu tunaendelea tulipoishia Leta account yako ipate mteja chap chap 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
8
21
30
854
Tutafute pesa naffikiri ndie mpenz ataye kupa umuhimu hats zile sehemu ambazo haziwezi kukupa umuhimu
8
7
8
173
Ze Planmaster retweeted
Leo naloweka 😋😂
29
30
3
205
26,525