Britanicca (@Britanicca0) header
Britanicca (@Britanicca0) profile picture

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

Vladivostok, Russia
Joined April 2021
Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)
Labda ihairishwe Ila HUKUMU mnayosambaza mtandaoni si yenyewe tutaambiana na Kesho ndo ntaibuka mshindi baada ya Lissu kushinda! Kesi haiko mnavyodhani, acheni kuwapa mawazo majaji kwamba ooo Kumbe hata tukimfunga wameshaandaana kisaikolojia Kesho tupo na ntaretweet
8
8
4
88
23,496
Niliwaambia mkakaa kudanganyana kwamba sijui Johari kaandaa hukumu ! Acheni mambo ya kuwa mnajipa umuhimu! Sijui nani anawalishaga matango pori
Labda ihairishwe Ila HUKUMU mnayosambaza mtandaoni si yenyewe tutaambiana na Kesho ndo ntaibuka mshindi baada ya Lissu kushinda! Kesi haiko mnavyodhani, acheni kuwapa mawazo majaji kwamba ooo Kumbe hata tukimfunga wameshaandaana kisaikolojia Kesho tupo na ntaretweet
38
3
2
53
13,868
Very stupid what about Ronaldinho against England 2002
🚨 BREAKING: Fans have voted Cristiano Ronaldo’s free-kick against Spain at the 2018 World Cup as the greatest free-kick in World Cup history. 🇵🇹🐐
3
937
What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza
10
1
1
33
7,389
Nchi imeoza hii
VIDEO: Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mwanaharakati wa kupinga mapenzi ya jinsia moja Dudu Maba, Mamba24 amewajibu waliofanya tamasha la mapenzi ya jinsia moja na kudai kuwa watamshitaki.
2
983
Kuna muda muachage usanii semeni wazi Kama Meko alisema sikunadi katiba msiniulize, nanyi muwe hivo kuliko kila siku porojo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amewatoa hofu Watanzania kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, akisema Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inalipa uzito suala hilo kutokana na umuhimu wake kwa Taifa. Akijibu swali la Mbunge Ado Shaibu, Bungeni Jijini Dodoma, Mwigulu amesema dhamira hiyo imewekwa katika Ilani ya Uchaguzi baada ya kujadiliwa katika vikao vyote vya Chama chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. “Kwanza niwatoe hofu Watanzania kwamba jambo hili la Katiba ni jambo kubwa na Serikali chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan inalipa uzito jambo hilo,” amesema Mwigulu. Katika swali lake, Ado Shaibu amesema amekuwa akihoji mara kadhaa kuhusu utekelezaji wa ahadi ya Serikali ya kufufua mchakato wa Katiba Mpya, huku akitaka kufahamu utaanza lini na utakuwa na sura gani. #MillardAyoUPDATES
1
2
12
1,384
Mbona hukumu haiko hivo?? Haya mnayatoa wapi???
2
1
18
2,290
May be you are talking about depression
You can smell a masturbation addict from a mile away they all leak the same red flags. The first sign is:
558
Wanawake dah ! Hapo anafanya yote kwa ajili ya attention kwa wanaume eti anaongeza diff 😁😁
1
7
4,629
😎😎😎
1
3
1,255
Haha haha kitambo jamaa wa kudanilodi hela ! Nakumbuka kuna kipindi 2018 hapo ukampelekea moto
Huyu alikuwa na matusi sana humu! Kumbe yuko Air BnB za serikali muda tu 😁
1
7
2,487
Nitajie watu alokamatisha angalau 3 ambao una evidence???
1
2
655
N'essaie même pas ça si tu es noir comme moi. Par contre, qui sont ces fous-là, wesh ? 😭
137
1,824
29
61,327
6,954,618
Mbona hiyo Dogo wa Muleba Hana Impact unayompa? Hii ndo inafanya credibility za watu kupungua na kuwatoa kwenye focus ! Huyo Jerf yuko nyavu kwa makosa ambayo yanajulikana na watu kadhaa wamejaribu kumsaidia kumtoa kesi yake wala si mambo ya harakati ni mambo yake mengine
Inasikitisha kila siku madogo mnachomwa na mtu ambaye hata pumbu zake hazioni zimezibwa na tumbo. Na mtapotea sana kwa hoax na shobo za kijinga. Sikuizi anajiita babake mdogo Abdul au mme mdogo wa Samia (Chivayo) Safari ni ndefu tutakuwepo sana.
5
7
51
8,887
Haha haha haha
Sometimes I wonder if Indian movie producers think they are selling their movies to kids… this is so hilarious😂
424
Britanicca retweeted
He stole the cash off the table!🥺😞😱....
15
83
1
667
122,705
We uwa ni mpumbavu sasa hiyo ina correlate vipi ? Yaan kitima asiende hata msibani?
Juzi taarifa ya Lissu ilitoka akisema atachangia Mil 15 ya msiba na familia yake wahakikishe wanashirikiana vyema na kanisa katoliki la Singida, ambako huko ndio kigango cha Kitima. Na sasa rambirambi za Lissu kutoka kwenye kundi la wanamapinduzi ambao wamemponza kuwa jela zinapitishwa kwa Kitima. Kitima bado anaamini wanaweza kuendeleza mission za kupindua serikali tena hivyo bado anaendelea kuorganize mapinduzi kupitia wanafunzi wake wa zamani na watu wengine. Njooni mseme ni AI, hapo kitima yuko kwenye vikao vya kupanga mapinduzi… kuna siku kinga ya Kitima itaondoka tu na ataenda na yeye kuelezea mahakama ilikuwaje alikuwa anaongoza genge pale TEC
1
7
2,525
Gaucho bwana 🙌🏼
Dia maravilhoso por aq... Mta resenha e footvolley com a rapaziada 🍀🙏🏾🤙🏾
1
393