BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Niffer apost picha zake kumbukizi ya tarehe 29 october huyu ndio mlikuwa mnamlinganisha na mange sio 😂😂🚮🚮
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Siku ngumu sana kwetu kama taifa. Chanzo kikuu cha maumivu yetu ni MASISIEMU.
Waliombwa kuliunganisha TAIFA kwa Maridhiano kabla ya #Mo29 wakasema wao watatiki na hakutakuwa na "Nywi nywi wala nywi nywi nywi".
Wananchi waliopotoka kudai HAKI zao za kupata UCHAGUZI HURU NA HAKI , vyombo vya ulinzi na usalama viliwapiga risasi za vichwa, viliwafuata majumbani na kuuwa vijana kwa maelfu.
Walienda mpaka mahospitalini kuchukua majeruhi wote wenye majeraha ya risasi na kuenda kuwazika wakiwa hai kwenye makaburi ya HARAIKI.
Mitandao ilizimwa, umeme ulizimwa, watanzania waliambiwa wakae ndani zaidi ya siku 5 zilikuwa ni risasi tuu ndio zinasikika kila kona ya mtaa.
Leo tunatimiza mwaka mmoja wa matukio ya #MO29 hakuna UWAJIBIKAJI kwa waliohusika kuuwa watanzania zaidi ya elfu kumi.
Tuliona vyombo vyote vya USALAMA vikiwa mitaani na bunduki kuuwa watanzania mpaka askari wa usalama barabarani waliingia mitaani kuuwa watanzania.
Hakuna hata mmoja aliewajibishwa na zaidi wanapongezwa walifanya kazi nzuri sana kuuwa watanzania.
Kinachouma zaidi ni familia nyingi mpaka leo hazijui walipo zikwa wapendwa wao, watu wametafuta watu wao kila mochwari bila mafanikio.
Maiti nyingi zilizikwa kwenye makaburi ya haraiki, nyingine ziliharibiwa kwa kuchomwa moto kwenye viwanda.
Unyama wote huu wahusika wakuu ni MASISIEMU. Poleni sana watanzania haya tuliyopitishwa #MO29 lazima tupate mwafaka.
Maisha hayawezi kuendelea kama kaiwada tuu kama hakuna kilichotokea. Lazima damu zilizomwagika Tanzania zilete mabadiliko ya kweli kwenye taifa letu.
#HatutasahauMO29
#Mo29
#MwakammojaWaMaombolezo
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
#OCTOBER29 #MO29 Mauaji ya oktoba 29 Tanganyika , Daima tutawakukumbuka wewe Simon Alex na wengine wote walioporwa uhai Mwenyezi Mungu awape pumziko lenye Rehema yake. Raha ya MILELE uwape ee Bwana namwanga wa milele UWAANGAZIE WAPUMZIKE kwa AMANI Amina .
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
On this day, bullets took your life away. Since October 29, 2025, your parents have missed you deeply. Your dream of seeing Arsenal win the Premier League finally came true in 2026.
Rest in peace, brother. You and everyone else we lost will never be forgotten. 💔🕊️
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Hii siku kuna mwaka tutaipa heshima yake inayo stahili endeeleni kupumzika kwa amani mashujaa wetu🕯️🕊️🇹🇿
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Leo Oktoba 29, tunawakumbuka kwa majonzi ndugu zetu, jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu waliotangulia mbele ya haki katika matukio ya uchaguzi ya Oktoba 29, 2025
Tunawakumbuka pia wale waliojeruhiwa na kuachwa na vilema ambao hadi leo baadhi yao hawawezi tena kutembea na kwenda kutafuta riziki kama walivyokuwa wakifanya kabla ya matukio hayo
Mwaka mmoja umepita lakini maumivu, vilio na kumbukumbu bado zipo mioyoni mwa familia zetu na wapendwa wetu
Mungu azilaze roho za waliotangulia mahali pema peponi, awape faraja, nguvu na awape uvumilivu na moyo wa kusimama tena wale waliojeruhiwa na matukio hayo
Tutawakumbuka. Tunawaombea 🕯️🕊️
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Siku ya kesho nitakuwa naomboleza MAUWAJI ya #MO29 hivyo shughuli zote za Sports na betting zitasimama siku nzima.
#sirtiva #football #MO29
#tutakuwepo🫵🏾😎
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea
29.10.2025 💔❤️🩹
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
HATUTASAHAU 🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
BAD NUMBER🥷🏿 retweeted
Tutapoteza wapambanaji wengi sana kwa mihemko unnecessary!!
Unapishana mawazo tu na mtu kidogo anaku~attack anakwambia umelambishwa asali.
Na watu wanaamini kweli umelamba asali, wakati kiuhalisia sio kweli ni ume adress tu mawazo tofauti na wao.
Finally unaona unahukumiwa kwa kosa ambalo hujafanya!!
So inakuwa kama ile umefungwa kwa kosa ka kuua mtu, unatumikia kifungo then unatoka unamkuta uliyeambiwa umemuua yuko hai!
What next?🤷♂️
Tusipunguze wapambanaji….
kwa sababu ambazo zinazungumzika!!
Hii vita hatuwezi shinda tukiwa wachache!!
SIRI NI NAMBA!!































