Travis (@TravisKitengoo) header
Travis (@TravisKitengoo) profile picture

9 inches๐Ÿ† inside my boxer |U T O P I A| Don't be shy, send a text

Joined August 2024
Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)Photo by Travis (@TravisKitengoo)
I won't lie, what I'm seeing is huge!! Kmmmk๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ
10
89
2
2,607
131,537
Travis retweeted
Mida kama hii vikosi vya wauwaji vilimwagwa Dar es Salaam, Tunduma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Mtandao umezimwa. Illegal curfew imewekwa. Mauwaji yale yalikuwa ya kukusudia, ya halaiki, yenye lengo la kujiweka madarakani bila idhini ya umma. Tunataka Uwajibikaji. 29/10๐Ÿ’”
15
47
419
Pumziken kwa Amani Mashujaa Wetu Mliopigania Taifa Letu Hadi Mlipopoteza Maisha Yenu.Tunawashukuru Sana Na Tuna Waombea Mwenyezi Mungu Awape Pumziko La Amani.
1
9
23
248
Video ya kwanza ni Arusha, huyu single mother alipigwa risasi na Samia Suluhu akiwa amekaa mlango kwake. Yani waliingia mitaania wakawa wanaua watu kama wanaua ngโ€™ombe.
9
60
142
4,633
Aisee wazee wa kimila na wale wa ma laana wapo wanalaani kinoma wanatoa maneno machungu mno na kufukia manuizi na kuchinja Sipati picha .๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
8
20
74
1,667
Elias Kanugu rafiki yangu. Tafadhali pumzika Leo 29 oktoba 2025 ni siku ambayo ulikufa bila sababu.
2
48
2
115
2,115
Travis retweeted
Ukisikiliza hii video mpaka mwisho ndio utanielewa ninaposema SAMIA NI MSENGE NA MALAYA WA HOVYO SANA.๐Ÿšฎ
17
78
543
19,103
Kwa wito wa Kanisa na mimi leo nimeshiriki MISA TAKATIFU ya kuwaombea MAREHEMU wote waliouawa Oct. 29. Nimesali na kukomunika kwenye kanisa la ST. PETERโ€™S hapa Dar. ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ #RipOurMartyrs
8
58
403
2,892
29,Oct. ya Tanganyika ilikua ni zaidi ya September,11 ya Marekani.๐Ÿ’”๐Ÿ’”
2
23
58
1,035
Pole kwa ndugu na jamaa walio wapoteza October 29 ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
1
45
106
1,229
Travis retweeted
KANISA LINAPOHUBIRI UTAKATIFU WA UHAI, LAZIMA LIUTETEE UHAI HATA PALE INAPOKUWA NGUMU. Injili haiishii madhabahuni. Inapaswa kuonekana pia katika namna tunavyowatendea waliodhulumiwa, tunavyowafariji waliofiwa na tunavyosimama mbele ya maswali magumu ya haki. Yesu alisema: โ€œNilikuwa na njaa, mkanipa chakula; nilikuwa na kiu, mkaninyweshaโ€ (Mt 25:35). Katika Injili hiyo hiyo, anatufundisha kumwona Kristo katika watu walio katika mazingira ya uhitaji na mateso. Hii inatualika kutafakari kwa kina kuhusu wajibu wa Kikristo tunapokabiliwa na vifo vya watu, hasa pale mazingira ya vifo hivyo yanapohitaji uchunguzi na uwajibikaji. Kanisa halipaswi kuwa mahali pa kulipiza kisasi. Lakini pia halipaswi kuruhusu lugha ya upatanisho itumike kufunika maumivu au kuzuia maswali ya haki kuulizwa. Kuwafariji waliofiwa ni huduma. Kudai uchunguzi wa haki ni wajibu wa kimaadili. Kukataa chuki na kulinda ukweli ni sehemu ya ushuhuda wa Kikristo. Kanisa linapouzungumzia utakatifu wa uhai, sauti yake inapaswa kusikika pia kwa niaba ya wale ambao sauti zao hazisikiki tena. Tuwakumbuke waliouawa katika sala zetu, tuwaombee familia zao, na tuendelee kutetea utamaduni unaoheshimu maisha, ukweli na haki. Kwa sababu imani inayompenda Mungu haiwezi kutenganishwa na wajibu wa kumheshimu mwanadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu.
10
66
791
Travis retweeted
Too many young blood claimed for one to remain in power. RIP Maria. 29.10๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ
3
62
1
202
1,904
Travis retweeted
Amna noma nyie si mmeshika mpini sisi tumeshika kwenye makali wanetu. Ila MUNGU yupo na anaona, na atajibu kwa wakati.๐Ÿ‘Š
2
14
32
467
Travis retweeted
Kabla ya #MO29 walionya TEC kuhusu kupuuza sauti ya UMMA yakatokea yaliyotokea. Na sasa TEC inatoa onyo tena kwa wakoloni weusi bila shaka watapuuzwa tena. #Mo29 #TukutaneParokiani
11
114
1
418
7,202
Travis retweeted
Electric kettle..mkataba huu๐Ÿ“Œ Ujazo Lita 2.5 Tsh 30,000 0755693113
22
24
531
Leo nimetembeza block nyingi humu๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
34
29
3
148
4,015
Travis retweeted
Nafsi hizi hazikuwa na hatia Isipokuwa zilisimama kudai haki yao kikatiba zikaadhibiwa kwa risasi Mmetuachia kazi kubwa ya kufanya ili kukamilisha mlichokiacha Rest Easy our fallen heroes your in our memory 29OCT,2025
4
69
2
144
1,321
Mko wapi?? Niwaletee hili free delivery ๐Ÿ™Œ โ€“ at Tanzania
10
39
1
86
4,172
Kumamako tulikusaka sana mkali ๐Ÿ˜‚
Mpaka pale mtanzania atakapo kosa mlo mmoja ndio akili itawakaa sawa. Kwaherini narudi kulala baada ya kutoka.
4
2
34
3,759
Chura anauliza wewe huombolezi? Au biashara yako haichagui nyakati?
unavailable
2
3
16
1,053
October 29/2025 haitokaa isaulike๐Ÿ’”
2
63
2
156
2,313