Dr. Sam retweeted
LEEDS WILL BEAT SPURS !!
ARSENAL WILL BEAT HULL CITY!!
MAN U WILL BEAT ASTON VILLA!!
SUNDERLAND WILL BEAT CHELSEA!!
STAKE UR HOUSE RENT.
Dr. Sam retweeted
£125M Enzo Fernandez 😭 nitter.gq/Citehcomps1357/status/…
Dr. Sam retweeted
Hakuna kitu kinanifurahisha mimi shabiki wa Chelsea kama kuona hao maenzo wanateseka 😂😂
Dr. Sam retweeted
Habari Huduma kwa wateja @AzamPesa ,nimeanza kutumia Huduma yenu Sina hata week mbili, ila Nina changamoto nimejaribu kama marambili kutuma hela kutoka Azam Pesa kwenda M-pesa , kwenu sms inarudi hela imetoka ila Mpesa hazifiki, changamoto nini?
Natanguliza shukrani
Dr. Sam retweeted
Not the way we wanted to finish this run of games, but we're always grateful for your support 🙏🏻
Dr. Sam retweeted
Aisee kosa la maresca ni nini mbona anatukanwa ya nguoni🔥😁
Machezaji yao ndio hamna kitu 😁
Dr. Sam retweeted
Ila Chelsea hapa kwa Madueke mlipa mtu kmmke endeleeni kuteseka tu huko darajani viande nyie..😎
Dr. Sam retweeted
Msenge umeenda na Gwanda … AURA !!!!😂😂😂😂😂😂😂
FINAL UPDATE: Mzigo nimekuja kuuchukua mwenyewe.
Wadada wameniambia changamoto inakuja kwenye simu sometimes haionyeshi missed calls au ikiwa inatumika haileti waiting calls.
Pia katika zile namba 3 alizonipa 45 store, zile mbili ni za ofisi ya Dar na hawakuwaambia wa huku Arusha kuwa nimepiga.
Binafsi sina hasira nao, na wanaonekana wanapiga kazi sana wale wasichana(ni vibonge). Ila nimewaambia watatue hiyo changamoto ya Simu mambo yaende vizuri.
Amani itawale🙏🏽





























