Pinned Tweet
Kuna jiran yang, mke wa mtu. Mumewe anasafir mara kwa mara, hivyo yy hubak na watoto pamoja na mama mkwe wake ambaye ni mgonjwa
Jana, katika harakat zake za kuchepuka, kalala nje na kuzima simu hadi leo. Asubuh kaenda kufungua duka bila kujua kuwa mama mkwe wake amefariki 😭💔
mikato_kuntu retweeted
TANZANIA HAS A MUCH BIGGER CRISIS BREWING THAN WHAT THE WORLD IS CURRENTLY SEEING ON THE SURFACE.
MY WHATSAPP, SIGNAL, AND TELEGRAM INBOXES ARE FLOODED WITH MESSAGES FROM YOUNG PEOPLE ASKING HOW THEY CAN ESTABLISH CONTACTS WITH PAUL KAGAME AND JOSEPH KABILA.
BECAUSE OF THE BRUTAL KILLINGS THAT HAPPENED DURING THE OCTOBER 29 2025 PROTESTS, YOUNG TANZANIANS ARE NO LONGER SEEING PROTESTS AS A SOLUTION. THEY ARE BEGINNING TO LOOK TOWARD ARMED RESISTANCE. THEY ARE ASKING FOR GUNS!!!!
THE INTERNATIONAL COMMUNITY MUST INTERVENE URGENTLY BEFORE TANZANIA DESCENDS INTO ANOTHER CONGO-LIKE CONFLICT.
THE WORLD CANNOT STAND BY AND WATCH SAMIA SULUHU DESTROY A COUNTRY THAT WAS ONCE CELEBRATED FOR ITS PEACE AND STABILITY.
THE WARNING SIGNS ARE ALREADY THERE. THE WORLD MUST NOT WAIT UNTIL IT IS TOO LATE.
(I intentionally wrote in all CAPS)
mikato_kuntu retweeted
Hakuna mtu alisha wahi kufanya vita na watu wa betting alafu akashinda Hanscana 😅😅😅
Amini kwamba😅😅
mikato_kuntu retweeted
Ukisikiliza maneno ya Lissu mahakamani na maneno ya wanaharakati mitandaoni utagundua wanaharakati wako na ajenda zao za siri juu ya kesi ya Lissu
Usemi wa wa kwamba Lissu hatopiga magoti ni usemi wa kijinga usio na mantiki yoyote ile
mikato_kuntu retweeted
Halafu nasikia anataka kukata rufaa,namshauri tu Lissu kwa upendo kabisa asije akathubutu kukata rufaa maana kitakachomkuta baada ya rufaa ni kesi ya uhaini kurejea upya kisha wamhukumu kunyongwa mpaka kufa,asije akamsikiliza Heche kabisa sababu hana nia njema nae ndio maana hata press ya leo anasema hawatamsaliti means amekubaliana na mwenyekiti kufungwa 4 years
mikato_kuntu retweeted
SIMIYU: Mwananchi ameyasema hayo mbele ya Waziri Mwigulu, Novemba 7, 2026 wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Polisi Mwandoya.
Zaidi jamii.app/NidhamuSerikalini
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
mikato_kuntu retweeted
Kijana Selemani Juma Mohammed amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kufikisha ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu umuhimu wa kurejesha nidhamu serikalini, akidai kuwa kwa sasa nidhamu imepungua.
Selemani ametoa kauli hiyo leo, Novemba 7, 2026, alipokuwa akiwasilisha kero na maombi yake kwa Waziri Mkuu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Polisi Mwandoya, Kisesa, mkoani Simiyu.
mikato_kuntu retweeted
Serikali Imemjenga TUNDU LISSU Kua Alama Ya HAKI Hapa Tanzania.
~Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
mikato_kuntu retweeted
Kwenye daladala unaona vijana wamelala kumbe wamefumba macho ili wasiwapishe wazee siti
mikato_kuntu retweeted
6 points above Man City.
11 points above Chelsea.
12 points above Liverpool.
20 points above Man United.
7 clean sheets in 10 games, with Raya conceding just 5 goals. 🤧😭
WTF is Mikel Arteta cooking ? 🤬🤧
mikato_kuntu retweeted
‼️NOTE‼️
“…moyo wangu umekufa” - “my heart has died (is broken)”
Our superpower as Tanzanians has been that we had on a collective level a warm heart - very hospitable and calm people!
In the past decade we have suffered serious trauma of every kind
Yesterday’s unfair cruel verdict has shattered all illusion and stirred something dark on a collective level! Samia Suluhu doesn’t know the people of Tanganyika and sees us as slaves! CCM is just as contemptious! This will not end well!
Sidhani kama hiki kimama kinajua kutuchokoza watanganyika ina madhara gani ya kuda mrefu! Ukatili huu mlioufanya na DHULMA kubwa kwa kipenzi cha watanganyika kitawaramba! Msije kutulalamikia baadaye
#NoJusticeNoPeace #FreeTunduLissu





















