Replying to @PMadeleka
Ile kesi ya Makonda iliishia wapi..maana ulitolewa Hadi wito wa mahakama akamatwe
2
682
Replying to @tanpol
Unatakiwa kufanyeje iwapo control number umeilipia but haiklubali kupata report yako, ukiweka kwenye kutafuta report inasema 'Hapa kuna taarifa kuhusu mali iliyopotea'
1
TUKIUKE means go against
Safaricom Moi Avenue Shop Re-Launch LIVE #TwendeTukiuke pscp.tv/w/cp7wjzYwOTQwMDN8MU…
TUKIUKE doesn't 'mean Go beyond'
Safaricom Moi Avenue Shop Re-Launch LIVE #TwendeTukiuke pscp.tv/w/cp7wjzYwOTQwMDN8MU…
Replying to @MichuziJr
@MichuziJr @ProsperMasau siyo kampuni ya pepsi bhana...ni wakala wa ajira anayewatafutia pepsi vibarua au contractors....
Replying to @Hakingowi
@Hakingowi @ridhiwankikwete Hawa si kila siku walikua wanajidai wamevuka malengo ya kukusanya kodi..hayo malengo walikua wanawekewa na nani
1
@bajabiri @MwananchiNews yas...ata fursa na mapato atakayozaliza dangote peke yake yatakua ni kidogo kuliko kungekua na kampuni nyingi nying
1
@bajabiri @MwananchiNews kusurvive na kuandaliwa mazingira mazur ili wakue..ni hasara kubwa sana kama mambo haya yataendelea
Replying to @bajabiri
@bajabiri @MwananchiNews ndo mana leo wachina wanauza hadi mahindi ya kuchoma..waalishaji wadogo wanapaswa kulindwa ili waweze kusurvive
1
Replying to @bajabiri
@bajabiri @MwananchiNews vikiwepo vitano..then kuwe na strict conditions.kwamba kuwe na mgawanyo wa fursa ndiyo tutaona Faida ya uwekezaji
1
Replying to @bajabiri
@bajabiri @MwananchiNews nachokisema hakipo...ndomana leo hii azamu anazalisha hadi maandazi..sasa mama ntilie wafanye kazi gani


