teapawt
$
C H E P E
@Chepezi
Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.
Duniani
Joined January 2016
Tweets
40.5K
Following
1.2K
Followers
18K
Likes
101K
Tweets
All
Posts
Sort by
Most recent
Popular
Tweets & Replies
Reposts
Media
Search
Pinned Tweet
C H E P E
@Chepezi
9 Oct 2021
Sababu kubwa ya mtu kutapeliwa ni kutaka mafanikio makubwa ya haraka kwa jitihada ndogo na hafifu.
85
133
7
724
C H E P E
@Chepezi
Nov 18
Msimamo au ufahamu kwanza?
1
131
C H E P E
@Chepezi
Nov 13
Kuna sehemu nilikosea.
86
C H E P E
@Chepezi
Nov 6
Buhongwa jamu sio la kitoto.
Translate post
2
129
C H E P E
@Chepezi
Nov 5
Tetemeko.
3
222
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Hapo kale UJINGA ULIKUWA MZIGO lakini sasa UJINGA NI GHARAMA.
178
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Ni ngumu sana kutoboa kwa dili za hapa mtandaoni. Watoa dili wengi wao wana roho za korosho.
132
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Ukiwahi kujitambua kati ya umri wa miaka 20 - 30 unatoboa maisha kiwepesi. Kinyume chake ni vyepesi kuwa mzigo kwa familia.
1
163
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Nifunge siku imeisha nashukuru ilibadilika.
2
162
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Biashara ya mavazi vijana wanataka kupendeza sio uimara.
159
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Jua la kiangazi hili.
3
152
C H E P E
@Chepezi
Nov 4
Jtano huwa ni siku ngumu kibiashara.
3
2
10
311
C H E P E
@Chepezi
Nov 3
Sergio Ramos on Jude Bellingham's decision to appear in a Calvin Klein Advertisement yupo sawa sana.
1
176
C H E P E
@Chepezi
Nov 3
Maisha ya kisubiri kupata ajira ni magumu sana.
1
2
247
C H E P E
@Chepezi
Nov 2
Hangaika na Swalah na Kazi.
3
160
C H E P E
@Chepezi
Nov 2
Kutumwa kunaumiza sana.
Translate post
3
141
C H E P E
@Chepezi
Oct 30
Watu wa matamanio wanavaa kanzu na vibalaghashia mbele za kamera na kuzumgumzia matamio yao (siasa na utawala) huku wakijificha kwenye Uislamu. HAKIKA UISLAMU UPO MBALI NA HAYO.
2
224
C H E P E
@Chepezi
Oct 29
Hawa watoto waliokuwa kwa kunyonyo maziwa ya ng'ombe sababu mama zao wapo kazini, ni waharibifu wa maadilo haswa.
2
206
C H E P E
@Chepezi
Oct 29
Mbape kasoma historia ya Wakoloni akamiini anajua mambo.😂
1
109
C H E P E
@Chepezi
Oct 29
Unaenda kwenye ujasiriamali wako alafu mtu anakuja kukaa kama kijiweni na maneno kibao.
146
C H E P E
@Chepezi
Oct 29
Kuna wanaume wanakatwa kucha na wakataka kucha.
1
181
Load more