C H E P E (@Chepezi) header
C H E P E (@Chepezi) profile picture

Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.

Duniani
Joined January 2016
Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)Photo by C H E P E (@Chepezi)
C H E P E retweeted
4
9
496
C H E P E retweeted
🔴 Nasaha ❗✅ 👈 Sambamba na kuwadia kwa Eid al-Adha na watu kula nyama kwa wingi: *Kutokuosha mikono baada ya kula kabla ya kulala kunaweza kuwa sababu ya kupata ugonjwa wa ngozi kama vile mbalanga ⚠️❗* 📌 Mtume ﷺ amesema: *> (“Atakayelala huku mkononi mwake kuna mabaki ya mafuta au harufu ya chakula naye asiyaoshe, kisha yakampata madhara yoyote, basi asimlaumu yeyote isipokuwa nafsi yake.”)* 📚 Sahih At-Tirmidhiy 1859 #شرح_حديث Maelezo ya Hadithi ✍️ Imamu Muhammad al-Shawkani رحمه الله amesema: > Kauli yake: “Akapatwa na jambo” imekuja katika riwaya ya At-Tabarani: “Atakayelala huku mkononi mwake kuna harufu ya mafuta ya chakula, kisha akapatwa na mbalanga.” Yaani: ugonjwa wa ngozi. Na kauli yake: *“Asimlaumu isipokuwa nafsi yake” maana yake ni kwamba yeye mwenyewe ndiye aliyepuuza kwa kuacha kuosha mikono, hivyo shetani akaja akalamba mkono wake ndipo ugonjwa ukampata.* 📘 Nayl al-Awtar 5/389 --- 📌 *Al-Ghamar (الغمر):* Ni mabaki ya mafuta, harufu ya nyama, au uchafu wa chakula unaobaki mkononi. 📌 *Al-Wadah (الوضح):* Ni mbalanga, ukoma, au maradhi mengine ya ngozi yanayoweza kumpata mtu kutokana na uchafu kujikusanya.
1
4
12
372
Siku ya Kiama Mtu ataambiwa Soma Qur'ani kama ulivyo kuwa ukisoma duniani na daraja yako itakuwa mwisho kwenye Aya ya mwisho utakayo Isoma Ona Fadhila zote hizi Lakini kuna Muislamu Yeye hajui kusoma Qur'ani wala hana mpango wa kujua yaani Yeye na Dunia tu ni msiba ulioje.
2
3
19
401
C H E P E retweeted
[Tuongeze Jitihada Ya Matendo Katika 10 Hili La Mwisho] Ametaja Al-Imaam Muslim, Katika Swahih Yake Hadithi Ya Mama Wa Waumin 'Aaishah [Allah Amridhie], Akisema; كَانَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ يَجْتَهِدُ فِي رَمضانَ مَالا يَجْتَهِدُ في غَيْرِهِ، وَفِي العَشْرِ الأَوَاخِرِ منْه مَالا يَجْتَهدُ في غَيْرِهِ Alikuwa Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake] Akijitahidi Katika Matendo Ndani Ya Mwezi Wa Ramadhani Kiasi Ambacho Hajitahidi Katika Miezi Mingine, Na [Hujitahidi Zaidi] Katika Kumi La Mwisho [Ramadhani] Kiasi Ambacho Hajitahidi Katika Masiku Yasiyokuwa Hayo
1
4
1
7
544
Ndugu zangu (Salafi) waliokuwa wanazungumzia Dini nyema humu baadhi yao fitina ya siasa imewakomba. Allahu Ta'ala atunusuru na fitina ya siasa!
2
4
231
Je, inajuzu kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kwa mwanamke kuwa mtawala? @abusumayyah_o @ihavetried2018 @Ibrahim
2
2
584
Nini hukmu ya Muislamu kujihusisha na saisa (demokrasia) na yanayofungamana nayo?
2
2
546
C H E P E retweeted
The video shows added comic effects and inconsistencies (like animal appearances shifting), typical of edited or CGI content. No credible sources confirm it's real footage—likely fabricated for virality.
1
1
83
DARSA ZA #TAWHEED KAMA HIZI HUWEZI ZIKUTA KWENYE MADRASA ZA #MASUFY 💦📚 *🕌MASJID OMARY BIN KHATWAAB MKONGOLONI MLALO LUSHOTO TANGA *📜 الكتاب :- كتاب التوحيد لشيخ محمد بن عبد الوهاب رحمه الله تعالى* *📒:-Kitabu #Tawheed cha Sheikh Muhammad bin Abdul-Wahhab رحمه الله* *📖 :-🚪( بَابُ :مَا جَاءَ أَنَّ الغُلُوَّ فِي قُبُورِ الصَّالِحِينَ يُصَيِّرُهَا أَوْثَانًا تُعْبَدُ مِنْ دُونِ اللَّهِ)* *📻:- 🚪 ( "Mlango : Yaliyokuja kuhusu kupitiliza mipaka katika makaburi ya watu wema kunaweza kuyafanya kuwa masanamu yanayoabudiwa badala ya Allah.)* *🎙️ MZUNGUMZAJI:-* *SHEIKH ABUU KHAFSWA ABDUR-RAHMAAN HUSSENI SULEIMAN حفظه الله تعالى ورعاه* *🗓️ TAREHE:* *11 - SWAFAR-1447H* *5 - 8 - 2025M* *JIFUNZE DINI YAKO KWANI ELIMU NI NURU NA UJINGA NI GIZA* *KWA FAIDA MBALIMBALI JIUNGE NASI KWA LINK 🖇️ ZETU ZIFUATAZO* 👇 *Our Telegram Channel:* t.me/+flmWcvijIKA1YWVk •┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈• *نسـأل اللــہ ان ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏🤲🏿*
1
3
95
C H E P E retweeted
Replying to @Chepezi
Karibu, Chepezi! Uwe na siku njema pia. 😊
1
1
24
C H E P E retweeted
Replying to @Chepezi
Habari yako pia, Chepezi! Afrika inakabiliwa na umaskini kutokana na mambo mengi: ukoloni ulioteka rasilimali na kuacha misingi dhaifu; ufisadi na utawala mbovu; migogoro na vita; hali ya kijiografia kama magonjwa na kutoendelea kiuchumi; na kuongezeka kwa idadi ya watu bila ajira za kutosha. Hata hivyo, bara lina rasilimali na vijana wenye uwezo wa kuibadilisha.
2
1
1
43
Bismillaah Rrahmaan Rrahiim ``Mtume swalla llaahu 'alayhi wa sallam amesema : ``FUNIKA MAPAJA YAKO KWANI HAKIKA YA MAPAJA NI UCHI."(sahiyh Al-Jaami' 4/57).
5
6
242
C H E P E retweeted
Ndio maana nikakuuliza kuhusu wale walio leta taarifa kipindi cha mtume ﷺ ya kuuona mwezi na watu wakatangaziwa kuonekana kwake bila ya hta mtume ﷺ kuuona, hili nalo unaliwekaje? Maana naona unaleta mifano isiyo relevant, 6k kms na Yemen sisi hayatuhusu ila Dalili zinasemaje?
1
1
1
2
536
Replying to @Chepezi
أخرج أبو داود عن ابن عمر رضي الله عنهما ، أن رسول الله صلى الله عليه وسلم وقف يوم النحر في الحجة التي حج فيها فقال : ( أي يوم هذا ؟ ) فقالوا : يوم النحر ، فقال : ( هذا يوم الحج الأكبر ) ( سنن أبي داوود (1945) وصححه الألباني في صحيح أبي داود (1700) )
1
1
1
41
Manhaj salafy
Maa Shaa ALLAH! Masjid Hidaya, Keko. Wajuvi wa mambo tuambieni ni Manhaj gani imesimama hapo?
1
1
2
71
Replying to @Chepezi
Ni SGR au ni maoni yako kaka
1
25
Replying to @Chepezi
Wafiika barakallahu
1
2
37
Uislamu sio Dini ya Shekhe Fulani Sunna sio sunna ya Shekhe Fulani Manhaj Salaf sio ya Shekhe Fulani Koma kutuletea Taãsubi ya Mtu au Kikundi Fulani kwenye Uislamu Haikuwa Uislamu ila ni Wahyi mbili Qur'ani na Sunna kwa Ufahamu sahihi wa Salaf wa umma huu basi Shika hii.🫵
5
3
25
739
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «الكَيِّسُ مَنْ دَانَ نَفْسَهُ، وَعَمِلَ لِمَا بَعْدَ الْمَوْتِ، وَالعَاجِزُ مَنْ أَتْبَعَ نَفْسَهُ هَوَاهَا، وَتَمَنَّى عَلَى اللَّهِ» – رواه الترمذي (حديث رقم 2459)، وقال: حديث حسن.
1
1
1
32
Replying to @Chepezi
Usiswali kwake tafuta masjid nyingine
1
2
2
75