Mwidini_Z_Msang (@DMsangii) header
Mwidini_Z_Msang (@DMsangii) profile picture

|Mjumbe B Ardhi Wilaya 2014-2019|Spain & Madrid....Arsenal.

Tanzania
Joined February 2021
Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)Photo by Mwidini_Z_Msang (@DMsangii)
Innah lilah laajun nimempoteza baba yangu usku huu
217
88
8
755
20,338
Hujabadirika kumbe Zack ni yule yule wa 2019 aisee
Kesho hiyo Mchochezi akiwa katika majukumu yake ya miaka kadhaa mbele
38
Yaani mtu anafurahia Lissu kufungwa kwa kosa la kutokea hapo hapo tumefikaje hapa taifa?
23
Kwenye hiyo nukuu unaelewa nini binti👉"Nakubaliana na pande zote mbili kwamba Kifungu cha 390 hakijaainisha adhabu. Kifungu cha 35 kinatumika pale ambapo sheria haijaelekeza adhabu mahsusi. Kifungu hicho kinaelekeza kifungo kisichozidi miaka mitano, faini au adhabu zote mbili"
Wanaharakati walituambia miaka mitano😆😆😆😆 Wao taarifa zao kila siku wanalishwa matango pori😆🤣🤣🤣
1
52
Weee miyeyusho saana na Mangungu wako
Hii page huwa haiposti lolote kuhusu Mwenyekiti wetu MANGUNGU. #Tutawafatilia
16
Sahihi kabisaa
Mpaka sasa Assnal hana cha kuprove kwenye hii mechi zaidi ya kutafuta sare. Liverpool tunahitaji ushindi zaidi ili kuendelea kutengeneza mazingira ya kumaliza top four.
1
48
Hii timu na mashabiki zake wanastahili kuonewa huruma kwakwel wamechanganyikiwa
1
108
Unataka kuchalleng ubingwa wa ndani na nje ya nchi kwenye sub za timu yako kuna Kazimoto,Mwijage na Chuga boy wanetu hampo serious kwakwel..
1
1
4
153
Mkuu @Cowwbama itoe Yanga hapo itakupotezea hela zako bure
Azam 1up Yanga win Arsenal 1up
139
Sasa watu wanalike nini kwenye hii post ?Hii nchi inawatu wajinga saana ..Pole saana mzee
Leo nimempoteza baba yangu mzazi. Rest in peace BABA! 💔
1
2
3
3,064
Ukiona wanaonewa hawa leta timu yako kaka
Mnacheza na team mbovu mnashangilia utafikiri mnacheza na Al ahly?😃🚮
21
Sema hii nchi daah😂🙌
"Hakuna Waziri alishawahi kupata heshima ya mpaka anapata nafasi ya kuongea na mchezaji [Barcelona] mmoja baada ya mwingine zaidi ya waziri wa kutoka Tanzania." - Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
19
Kurudi wapi tena?
Shukrani kwa Wanachama na Mashabiki wetu kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wetu wa kariakoo derby jana. Tutarudi tukiwa imara zaidi🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
1
37
Alafu mkafanyaje?
Mlikuwa mnatuulizia? TUMEFIKA🔰💪🏽
22
Postin matokeo sasa
1
1
53
Umeona sasa
Sahihi kabisa, kwanza hawana boss kama Mo Hawana mashabiki wajaza full house kama Simba. Hawana Winga kama za Simba. 😀
50
Nikweli limetuuma maana mmekufa kimya kimya
Hili suala la kukaa kimya limewauma sana eti
30
Hongera mkalii
Kwenye derby ya leo kati ya Simba na Yanga, naomba correct score yako. Baada ya mechi tukupongeze. Mimi Simba 2-1 Yanga.
1
1
5
140
Tv na Kitanda sio mali kaka ebu kuwa serious basi
Vijana wanaokimbilia Dar es Salaam wanarudi nyumbani wakiwa masikini na ikitokea amefariki mali zake hazionekani.
15
This Post is from a suspended account. Learn more
1
35
Mwidini_Z_Msang retweeted
Replying to @DMsangii
Nimekaribia mjomba
1
2
78