♟️ (@iamFallacy) header
♟️ (@iamFallacy) profile picture

Agenda must agend, No room for facts, Hater,

Joined November 2015
Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)
Fvck you Mikel Arteta, Arsenal fans and all other ops😀
9
24
10
94
59,675
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
43
4,421
130
11,606
135,704
Hili anguko la Man City nalifurahia mno kutoka mtimani🙏🙏
4
3
2
83
1,958
Kindly Retweet🙏🏽 📱Samsung S26 Ultra📦 ▪️128Gb - 2,350,000/= 📱Google Pixel 10 Pro XL📦 ▪️256Gb - 2,250,000/= FREE: Cover + Protector & Charger 🔌 - [Trade-In (Exchange) & Cash Deals] Tel. +255 628 139 218 (Calisah) +255 747 689 218 📍Kariakoo. Aggrey street
2
17
2
19
624
♟️ retweeted
ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI: Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI: 1. KUKIUKWA KWA KIFUNGU CHA 172(2)(c) cha CPA (Siku 577 za Mahabusu). Mahakama inapotoa adhabu ya kifungo, inapaswa KUZINGATIA (kupunguza) muda WOTE ambao mtuhumiwa alikaa gerezani au chini ya ulinzi kabla ya kukutwa na hatia. Msimamo huu ni wa kisheria na wa lazima chini ya Kifungu cha 172(2)(c) kikisomwa sambamba na Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Mahakama (Tanzania Sentencing Guidelines 2023). TAL alikaa mahabusu kwa jumla ya siku 577 kabla ya hukumu yake. Kisheria, siku hizi zilitakiwa kukatwa moja kwa moja kwenye miaka 4 (siku 1,461) na kumbakizia adhabu ya siku 884 anapoingia gerezani kutumikia kifungo siku ya kwanza. 2. KUFUMBIA MACHO MISIMAMO YA MAAMUZI (PRECEDENTS) ZA MAHAKAMA YA RUFANI. Kwa kuacha kukata siku hizo 577, jopo la majaji 3 limekiuka kwa makusudi(kimkakati) misimamo thabiti ya kisheria iliyowekwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Court of Appeal), ambayo INALAZIMISHA mahakama za chini kukata muda wa mahabusu. Baadhi ya kesi hizo ni: Godbless Simon vs Republic (Criminal Appeal No. 647 of 2022) [TZCA 355]: Ambapo Mahakama ya Rufani ilisisitiza kuwa kuacha kukata muda wa mahabusu ni ukiukwaji wa matakwa ya lazima ya Kifungu cha 172(2)(c) cha CPA, na ikalazimika kuingilia kati kupunguza adhabu ili kufidia muda huo uliosahaulika. Pia, kesi ya Waziri Amani vs Republic: Ambapo Mahakama ya Rufani ilibainisha wazi kuwa kutohesabu muda tangu mshtakiwa alipokamatwa hadi siku ya hukumu kunafanya adhabu nzima kuwa na kasoro ya kisheria (illegal sentence). 3. HILA YA KUFUMBIA MACHO ADHABU YA FAINI (OPTION OF FINE). Hapa kuna upotoshaji mkubwa zaidi wa kisheria na hila iliyofanywa na mahakama. Ikiwa sheria inayomtia hatiani TAL inatoa adhabu ya Faini AU Kifungo (Option of a Fine or Imprisonment), kanuni za kisheria na miongozo ya utoaji adhabu INALAZIMU Jaji kuipa kipaumbele faini kwanza, hususan kwa mkosaji aliyetiwa hatiani kwa MARA YA KWANZA (first offender). 👆🏽 Hili ni TAKWA LA LAZIMA la Miongozo ya Mahakama: Chini ya Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Tanzania ya Mwaka 2023 (The Tanzania Sentencing Guidelines, 2023) [Kanuni ya 137 / Sehemu ya (i)], sheria inaelekeza wazi kuwa: "Pale ambapo kosa lina adhabu ya faini au kifungo, mkosaji wa mara ya kwanza anapaswa kupewa adhabu ya faini, isipokuwa tu kama kosa hilo ni la kikatili sana..." Msimamo wa Kimahakama kuhusu suala hili (Precedents): Katika kesi maarufu ya Salum Shabani v. Republic [1985] TLR 71, Mahakama ilitamka wazi kuwa: "Ambapo Bunge limetoa hiyari ya faini au kifungo, mahakama inapolazimika kutoa adhabu LAZIMA ihakikishe kuwa adhabu ya faini inatolewa kwanza, na kifungo kinakuja tu pale mshitakiwa anaposhindwa kulipa faini hiyo (in default of payment)." HILA ILIYOTUMIKA: Jaji amefanya HILA kwa kufumbia macho kwa makusudi maelekezo ya kesi tajwa 👆🏽 & miongozo ya utoaji adhabu. Alijua fika kuwa TAL ana uwezo wa kulipa faini na wananchi wangemchangia ndani ya dakika chache. Ili kukwepa TAL asilipe faini na kubaki nje, Jaji aliruka kabisa hiyari ya faini na kumtwanga kifungo cha moja kwa moja cha miaka 4 gerezani bila sababu za msingi za kisheria zilizothibitishwa. 4. MPANGO WA KUZUIA DHAMANA WAKATI WA RUFAA (Bail Pending Appeal). Hapa ndipo penye SIRI kubwa ya kimkakati ya ADHABU hii. Chini ya sheria za utaratibu wa makosa ya jinai, mahakama ina mamlaka ya kutoa dhamana kwa mfungwa anayesubiri rufaa yake isikilizwe (Bail Pending Appeal) pale tu kunapokuwa na sababu maalum (exceptional circumstances): ikiwemo hali ya afya, muda aliotumikia na uliobaki wa kifungo, sababu ambazo hulazimisha mahakama kutoa dhamana hii ni pamoja na ADHABU KUWA FUPI au MUDA MCHACHE WA KIFUNGO (Short Custodial Sentence), kwani kuna hatari adhabu ikaisha kabla ya rufaa kusikilizwa. INAENDELEA 👇🏽
17
117
4
375
22,165
🚨💣 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jeremie Frimpong is open to leaving Liverpool and playing for a Saudi club, having been offered to Al Hilal, reports @ismaeelmahmoudd.
132
108
82
2,356
161,552
Ifike hatua umeme na Internet vitambuliwe kama basic needs. Aisee Mbeya wanakata umeme saa 11 asubuhi wanaleta saa 5 usiku🤣🤣🤣
6
9
4
77
1,934
Mtoto wa Raisi wa Kenya amenyenyekea Mwanaume mpaka ameolewa. Kuna wewe na salary yako ya Tsh 500k-1.5mil unasema huwezi nyenyekea mwanaume. Shenzzy,
17
44
5
343
26,691
♟️ retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
105
106
21
771
37,655
hii nchi hii...daaaah!!!
62
440
102
724
Kwenda home haijawai kuwa makosa.
"Makosa utafanya kubwa ni kurudi kwa mzazi after graduating "
1
5
222