Pinned Tweet
Kofia ngumu (helmets) Zina rangi mbalimbali, na Kila rangi Ina maana yake.. Leo tujikumbushe kidogo. #ElimikaWikiendi #SafetyFirst
Dada Conso ๐บ retweeted
Anapatikana Tegeta A mpakan [MAMA BHOKE- 0757 033 269]
Afya ni gharama Tumsaidie mama WA UYU mtoto llipa chochote Mungu atakubariki. @MarekaMalili @MaviatuBackup @chapo255 @Sativa255 @Makaveli_255 @YourFrenchFry @rollymsouth @MiriamMkanaka @mtiesaJr @FatherNkwera RT.
Wewe kama hutaki kuongea na mtu sema, kumwambia mtu unapatana na bad days Leo siku ye nne mfululizo.. ni uongo ๐๐
Kabisa.. ๐คง
91
Dada Conso ๐บ retweeted
Replying to @DadaConso
Na ukiona comment zao, unajua kabisa mtu anatafuta reaction tu. ๐คง๐คฃ
Mapema Misa ya kwanza.. kulikuwa na mhindi, yeye alikuwa project manager..oyaah, aliosha chaap ๐๐ tukabaki wenyewe..
Balaaa.. wanakimbizana na mavitu mazito, wewe umetoka zako kula chipsi yai unataka kuleta ligi ๐๐
1
86
























