Edwin F.M retweeted
Mwanangu uelekeo ni huu—kufanya greatness tupu bila kujali mood ama namna gani vipi.
Mpaka sasa
Nimepitia zote
1.Nasuka jambo naliandaa ila sifanyi
2.Naanza naishia kati naganda
3.Naanza chapu kwa haraka nakosea nalamba Glucose narudi tena ulingoni mpaka matokeo yanatokea
Ndo maana napenda msemo ANZA SASA
Mnalakusema
@EdwinMjeru
@miracleboytz
@MkulimaKante
Edwin F.M retweeted
Kuwa unique sio lazima uvumbue kitu kipya.
Wakati mwingine ni kuangalia tatizo la zamani kwa mtazamo mpya.
Here’s my POV: 🧶👇🏾
Edwin F.M retweeted
Replying to @WeVineyard @EdwinMjeru @bwaya @Udadisi @SwahiliBible @mmwambanga @MarkMwandosya @AnnaTibaijuka
Vipaumbele na umakini. Huwezi kununua maelfu ya Mavii 8 na wakati huohuo kuboresha elimu
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
kwenye hilo battle wanatafutwa wajinga wajae kwenye mfumo wapigwe
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
CFEs watapoteza mapema sana, hao wengine ni wapambanaji mstari wa mbele na wanajua hali ilivyo na picha halisi
Edwin F.M retweeted
Hawa ni wajamaa wenzetu kabisa? Socialists? Communists? Au kuna namna 😕 😞
@EdwinMjeru @bwaya @Udadisi @MabalaMakengeza @SwahiliBible @mmwambanga @MarkMwandosya @AnnaTibaijuka
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Kila mtu anatetea ulaji kwa kuwapiga wenzake kuwafundisha jinsi ya kutengeneza pesa
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Wengi siyo wafanyabiashara. Ni matapeli, wanaotafuta wafuasi wa kuwapiga.
Ukoshaona mtu anapinga mfumo mmoja au anaonesha kuwa anachofanya kinahitaji elements za uahujaa kwa umma ujue ni utapeli.
Na kwakuwa hesabu ni janga watu wanatafuta na kutapeliwa kwa kutafuniwa kila kitu.
Edwin F.M retweeted
Jukwaa bora la vijana #ElimikaWikiendi
Jumamosi hii linarindima, ni fursa kwako kulitumia kutoa elimu, ujuzi na maarifa kubwa zaidi kutakuwa na mjadala mbashara.
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Mtu anaanza waza negativity, what if it doesn't work out? Damn
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Ukitoa bahati bila kujitoa kafara huwezi ishi maisha unayoyataka.
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Mzee: KILA MTU ANATAKA MAFANIKIO, LAKINI SI KILA MTU YUKO TAYARI KULIPA GHARAMA ZAKE.
Mwisho wa siku, lengo si kuteseka ili ufanikiwe. Lengo ni kuwa Tayari kufanya mambo yenye Thamani,hata pale yanapohitaji Juhudi na Uvumilivu, ili uweze kujenga Maisha unayotamani.
Kijana; Sawa
Replying to @EdwinMjeru
😂😂😂
Unafanya tathmini sana mpaka jambo linaanza kuzeeka
ANZA SASA



















