Achuzyyy retweeted
Mwanaume anayeona kila kitu lakini akajifanya hajui chochote, ni mtu wa hatari sana
Achuzyyy retweeted
Chochote akili inachoweza kubuni /kutunga na kukiamini, inaweza kukifanikisha.
Mtazamo wako ndiyo zana yenye nguvu zaidi. Kama unaacha kujitilia shaka kukutawale, kutakuzuia usichukue hatua unazotakiwa kuchukua ili ufanikiwe. Jiamini na amini katika uwezo wako!📌
Achuzyyy retweeted
Usiwatendee watu vibaya kwa sababu tu unapitia siku mbaya. Ni kweli kwamba una changamoto zako na unapitia mambo magumu, lakini kumbuka kuwa watu wengine pia wana hisia na wanapitia changamoto zao
Kuwa imara unapokabiliana na changamoto za maisha, lakini usiruhusu ugumu unaopitia uwe sababu ya kuwakosea wengine haki.
Achuzyyy retweeted
kill ur perfectionism before it kills ur potential.
kill ur perfectionism before it kills ur potential.
kill ur perfectionism before it kills ur potential.
Achuzyyy retweeted
Uaminifu ukipotea haurudi tena ukirudi unageuka kuwa wasiwasi jitahiidi sana kuaminika pale unapoaniwa.
Achuzyyy retweeted
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
Hivi unajua ile feeling umetoka kufanya mazoezi asubuhi halafu ndo uende kwenye mitikasi yako kutafuta rizki? It's the best feeling ever. Acha umama, weka ratiba ya mazoezi asubuhi hata 20 minutes zinatosha.
3
36
Achuzyyy retweeted
Kiherehere cha kutaka kila mtu awe rafiki yako ndicho kinachokufanya uwe na maadui wengi.
Achuzyyy retweeted
I stopped eating GOAT's meat out of respect for Cristiano Ronaldo Dos Santos Aveiro.


















