Mangalai retweeted
Kitchen cabinet 380,000 ofaaa
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
Mangalai retweeted
Bro..
1. Hakuna mtu atakuja kukuamsha kila asubuhi.
2. Hakuna mtu wa kuja kukulazimisha kujenga nidhamu.
3.Hakuna mtu wa kuja kukujengea future yako.
4. Hakuna mtu wa kuja kukufanya ndoto yako itokee.
Ni wewe mwenyewe.
It’s your responsible.
Lock IN.
Mangalai retweeted
Bro To Bro.
Siku moja jua litachomoza mashariki bila uwepo wako, punguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu!
Jichague wewe.
😁✊🏾
Mangalai retweeted
Siri ya mafanikio?
Kuvumilia kipindi ambacho hujui kitakachotokea.
Wengi wanaacha. Wewe endelea. 🔥
Mangalai retweeted
🔷️Kwanini Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa ya fedha lakini bado akafanya maamuzi mabaya kwa sababu ya tamaa, hofu na presha ya jamii
Morgan amelijibu hili swali kupitia
THE PSYCHOLOGY OF MONEY
tunaweza jifunza mambo mengi kuhusu PESA kupitia hiki kitabu
Tuchambue kidogo👇
Mangalai retweeted
ROBERT GREENE
Mwandishi mashughuli wa vitabu vyenye maarifa ya kuwapa watu mamlaka katika jamii zao
Moja ya vitabu vyenye maarifa ynayompa mtu nguvu zaidi dunian ni
-THE 48 LAWS OF POWER
-THE ART OF SEDUCTION
-THE LAWS OF HUMAN NATURE na
-MASTERY
Watu wengi wamedai nianze kuvichambua vitabu hivi kwa ufupi na kwa lugha inayoeleweka(Kiswahili)
Leo nitaanza na 48 LAWS OF POWER
👇
Mangalai retweeted
MAFANIKIO mara nyingi huja kupitia routine.
1. Routine ya kujifunza.
2. Routine ya kujiboresha.
3. Routine ya kuwa stronger kila siku.
Na asubuhi ndio nafasi yako sahihi ya kujenga routine hiyo.
Mangalai retweeted
ISHARA 6 ZINAZOONYESHA UMEME WAKO HAUFANYI KAZI.
1. Hupendi kujifunza vitu vipya.
2. Huhoji kila unachoambiwa.
3. Unaishi kwa mazoea.
4. Huwezi lisaa kukaa lisaa 1 bila simu au stimulation.
5. Unaitikia kila kitu kwa hisia.
6. Hujitathmini wala kujisahihisha.
Unlock.
Mangalai retweeted
UMASKINI NI ECOSYSTEM.
Ndiyo maana kubadilisha kipato pekee hakutoshi.
1. Lazima ubadili namna unavyofikiri.
2. Lazima uchunguze imani zako kuhusu pesa
na maisha.
3. Lazima ubadili mazingira yanayokuzunguka.
4. Na zaidi ya yote, lazima ujue UNATAKA NINI.
Unlock
Mangalai retweeted
Kila anayetaka kuwa Millionaire ni Lazima Afahamu hizi Skills
1. Sales
2. Marketing
3. Investing
4. Branding
5. Communication
6. Goal setting
7. Negotiations
8. Time management
9. Leadership























