Mr cleansheet retweeted
Both 1st and 2nd preliminary rounds simba kawatoa mabingwa wa nchini kwao hauna hoja mchambuzi
Mr cleansheet retweeted
*BETPAWA TRENI LA WIKI ODDS 102 DAY 1 WON* : ⚽️🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅✅💸💸💸💰💰💰💰💰💰💰
*DAY 2 loading......🤲🏿*
....."Zimebaki ODDS 69 Kama ulilikosa dandia hapa mkuu"👇👇👇
CODE👉 : XOJXS26
"EDIT, PICK SOME OR PLAY ALL"🤲🏿
*MESEJI WHATSAPP👉 : 0788097114*📌
@Injinia777
Mr cleansheet retweeted
Baadhi ya wachambuzi ndio wanasababisha wachambuzi wote tuitwe wachambuz uchwara
Yan dulla anawapamba simba anashindwa kuongea ukweli
ORLANDO ni bingwa wa SOUTH
COLOMBE ni bingwa wa Cameroon
Simba yeye anashiriki kikanuni sio bingwa kwenye taifa lake
Ubora kautoa wapi
Mr cleansheet retweeted
Huyo jamaa kila Kona kaingia 😅
Mr cleansheet retweeted
Wewe endelea tu kubadilisha wanawake kuna siku utaelewa kwanini hawaweki mziki hospitalini 🏥
Mr cleansheet retweeted
Siku hizi ikitokea Ndugu yenu BINTI ameenda Mjini Dar...
Ili nyie wa mikoani muwe na Amani ni Mpaka AFE.😂😂
Baadhi ya wachambuzi ndio wanasababisha wachambuzi wote tuitwe wachambuz uchwara
Yan dulla anawapamba simba anashindwa kuongea ukweli
ORLANDO ni bingwa wa SOUTH
COLOMBE ni bingwa wa Cameroon
Simba yeye anashiriki kikanuni sio bingwa kwenye taifa lake
Ubora kautoa wapi
Mr cleansheet retweeted
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu"
.
DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
Mr cleansheet retweeted
Milango Hatari zaidi na Maisha ya Mwanaume Duniani.
•Simu na Uaminifu
•MAcho na Uamuzi
•Marafiki na Misimamo
Hapa utajiuliza kivipi nipe dakika 5 nitakwambia kwanini ni Hatari zaidi.
Mr cleansheet retweeted
Sadio Mané ameeleza kile Cristiano Ronaldo alichomwambia baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick) usiku wa jana.
Sadio Mané:
“Baada ya mchezo, Cristiano alinifuata na kuniambia jambo ambalo sitalisahau kamwe.
Alisema, ‘Sadio, nakupenda ndugu yangu.
Umenisaidia kusogea karibu zaidi na ndoto yangu ya kufunga mabao 1,000 katika maisha yangu ya soka, na nitathamini hilo daima!’
Aliniambia kuwa hanioni tena kama mchezaji mwenzangu au rafiki tu, bali kama mdogo wake.
Kwa kweli, maneno hayo yana maana kubwa kwangu kwa sababu Cristiano ni mtu ninayemheshimu sana.
Pia aliniambia kuwa siku moja anatumaini tutatembelea Senegal pamoja na kufanya jambo la kipekee kwa ajili ya watu wa huko kupitia shughuli za hisani.
Jambo hilo liligusa moyo wangu.
Soka limenipa mambo mengi, lakini kujenga uhusiano wa dhati na mtu kama Cristiano Ronaldo ni jambo nitalothamini daima.
Kwangu mimi, yeye ni zaidi ya mchezaji mwenzangu. Yeye ni familia.”
Mr cleansheet retweeted
Kuna msanii alisema wanao kuchekesha leo siku wakikuacha watakufanya ulie
Muhimu ni kujua kila kitu ni cha muda tu usijimalize🙌
Mungu anapanga lake wewe unapanga lako 💔
Mr cleansheet retweeted
Msela kaoa manzi ya chuga hapa,manzi yenyewe ndio inajiamlia mambo,picha linaanza manzi imepaka BRICHI kichwani na msela yupo hapo,picha linaendelea manzi ikitoka kuoga inaloanisha KHANGA na kupita matikati ya WAPANGAJI mwanamke kama huyu kmmke I I'll be KWEKA JUNIOR! 😅😅😅😅
Mr cleansheet retweeted
Mapenzi hayaumi kama unafika mgahawani unaagiza chakula kwa hela nyingi afu chakula kinachokuja hakiendani na hela uliyotoa..🙌




























